Uamsho ukikubali kuhesabiwa ndo talaka yako

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Dada angu kaolewa znz ameambiwa na shemeji kuwa akikubali kuhesabiwa sensa basi ndo talaka yake arudi bara. Wana jamvi nifanyaje hapo kuokoa ndoa ya dada wangu?
 
Back
Top Bottom