Uamsho: Sasa Tunalivaa Swala La Kuuvunja Muungano Kiimani. Tuko Tayari Kwa Kila kitu

kumbe mamilioni ya pesa za utalii (kiwanda pekee ZNZ) mnayapata kutoka kwa watalii wa kiislamu!
 
Zenji kuna vituko. Kwanza waambieni wajifunze kuendesha Meli, ndio waombe nchi.
 
  • Dhulma ya Tanganyika litan'gooka sasa. Tuko Tayari kwa kila kitu, hili swala tumelivaa kiimani. Hatuwezi kulipata nchi bila kuingiza Uislamu.
  • "Tunadai Zanzibar yetu Kwenye makucha ya Tanganyika Kiimani sasa"
  • Akitajwa Kiongozi Mwislamu hata kama katukera, tusimlaani. Wakitajwa wale makafiri, Jina lake mpaka litafute Juisi.
  • Umuhimu wa Waislam kuwa na nchi yao, kuilinda na kuitetea nchi yao.
  • Je Kwani mnanchi nchi? Nchi yenu imeibiwa na Wakristo
  • Tusikubali utawala wa watu makafiri wababe, kama nabii rasul Musa. Tunataka taifa letu
  • Njia tu ya kupigania uhuru ni Jihad. Lazima tupigane kama watu wadini
  • Wabara wapumbavu, wamezoea kuingia mikataba ya kijinga ya kunufaisha mafisadi na wageni. Sisi hayo hatutayakubali. tunaitaka nchi yetu
  • Mkiombwa kupigana kwa ajili ya nchi yenu mko tayari? Kwa maana mnayoyataka inafika muda mnalazimika kupigana
  • Mnakufa kwa maradhi yanayotibika
  • Tukifa sisi bila kuwapa nchi, vizazi vyetu vitakuwa wakiristo !
  • Tunayemtaka ni jemedari wa kutuongoza kuikomboa nchi yetu
  • Watanganyika na wakristo ni wezi, wanaiba matrillioni. Wamepandikiza chuki na wizi wao kwenye mashirika ya umma. Kila wizara na taasiri inanuka ufisadi. hatutaki muungano
  • Baadhi yao wanajifanya kuzungumzia wanzanibari kuhusu muungano. Waacheni wanznibari wajiamulie, njooni hapa muuwailize wanzibari kama wanautaka huo muungano wenu.
Maneno yao hapo sikiliza.....Inatisha. Muungano umekwisha, waachani hawa watu waende wanapandikiza chuki mbaya kwenye kivuli cha Udini. Kwa mwendo huu, muungano umekufa

[video=youtube_share;xXMONXpT5k M]http://youtu.be/xXMONXpT5kM[/video]
[video=youtube_share;RHYJADVg4x Y]http://youtu.be/RHYJADVg4xY[/video]
[video=youtube_share;870Wy0I8lUc]http://youtu.be/870Wy0I8lUc[/video]
[video=youtube_share;a1XSP0ClhSY]http://youtu.be/a1XSP0ClhSY[/video]

Naona umekula kitimoto(nguruwe) wewe.ushindwe na ulegee ktk jina la Yesu kwa mdomo wako mchafu
 
Hili suala linahitaji tafakuri ya kina na uchunguzi wa kutosha kwani UAMSHO ndo wasemaji wakuu wa Zanzibar au wametumwa na kama ndo ivo nani kawatuma. Suluhisho la kweli la matatizo ni mazungumzo ya amani na sio Vita(JIHAD), Israel na Parestina mpaka leo ni vita .Je ina maslahi gani kwa kizazi kinachokuja. Waislam wenzangu na Wakristo sisi sote ni viumbe wa mwenyezimungu. Hivo tupendane, tushirikiane na tusaidiane. Mbona kule pakuchukiza MwenyeziMungu tunashirikiana, Kwenye baa tuko pamoja, nyumba za kulala wageni tuko pamoja hata kama sio wageni, na mengine tu yanayomchukiza mwenyezi Mungu. Tutafute kuwa na amani na watu wote kwani madhara ya vita ni makubwa mfano Sudani, Somalia, n.k. Sisi sote tuliumbwa na Mungu na sote tutakufa tu.
 
kafiri ni mtu asiekua katikaimani hizi (judism.christianity .islam orsimply abrahamicfaith..) hivyokumwita mkrstosiohak
 
What a shame to my gov!!!!. Where is it? What is it doing and for whom!?

Nimesikiliza hii video, ni udhaifu mkubwa sana kwa serikali!!!!
 
Kibogo unaposema mpk na nyie waislamu mnaitwa makafiri kwan nani alikwambia wakristo ndo makafiri?achen ubaguzi wenu enyi waislamu,kwan kwenye mafundisho yenu huwa mnafundishwa adui zenu ni wakristo au?mbn siwaelewi?waliwatenda nini wakristo mpk mnawachukia hvyo?
 
Wapewe kisiwa chao bana,hii maneno yote ya kazi gani?hakuna haja ya kumwaga damu,sioni sababu,ninaamini kama watakuwa majirani salama,basi nchi zote,yani Zanzibar na Tanganyika zitanufaika na ujirani huo,ikionekana kuwa muungano una manufaa,basi tuungane,ikionekana kuwa uhusiano huo si mzuri na maybe kujitenga kunahatarisha usalama wa wananchi wa pande zote,basi Tanganyika watatafuta namna ya kujilinda,hata kama ikiwa ni kuwasapoti wanamapinduzi na kuwa na taifa moja.This just my take...
 
Ccm na Serikali yake Itatuangamiza watu tukiwaambia UAMSHO NI KUNDI LA KIGAIDI Hawataki kuamini, na ccm iko kimya ccm b iko kimya, Tusibiri mapanga hawa watu ni hatari hawana akili nzuri ni tishio kwa amani na maisha ya watu wema
 
Kitu cha muhimu hapa ni kupigania serikali moja tu. Hii itasaidia kupunguza gharama kubwa za kuendesha serikali. Kuvunja muungano kutatuweka katika risk kubwa kiusalama hasa baada ya hao uamusho kuwa na ajenda ya kuunda dola la kidini kwenye nchi yenye mchanganyiko wa dini mbalimbali kitu ambacho kitaleta mtafaruku.
 
WAZANZIBAR WATAENDELEA KUPATA SHIDA sana sababu mtu mmoja anautafuta URAIS kwa udi na uvumba. yupo tayari watu mamia kwa mamia wafe lakini yeye apate huo URAIS.zamani alitumia chama cha CUF akabaini hakiwalete wazanzibar wote pamoja!!!! sasa kaona akitumia mwavuli wa dini malengo yake yatatimia kwa urahisi.huyu ni hatari.kwa maneno yake mwenyewe aliwa kusema alicho tumwa kukifanya serikalini kashamaliza kazi ni kwao.zanzibar ni ya waafrika hao waarabu kwao hukoooooo,waende,
 
Back
Top Bottom