Uaminifu

kwa nn wanaume ni wahuni sana kuliko wanawake?

Kwanza karibu sana JF paka nyau...
kuhusu uaminifu,ungetupa data za utafiti wako ingekuwa vyema zaidi kwani ungeonesha wanaume ni wahuni kiasi gani kuliko wanawake...
 
kwa sababu wanaishi maisha asilia (natural life)....nimepata au nimekosa??
 
Hiyo angalau ilikuwa miaka ya kati hapo nyuma lakini sasa hivi ngoma droo bana! Hakuna cha wanaume wala wanawake dunia tifutifu!
 
Sidhani kama hili ni jukwaa la kujadili mambo ya kimahusiano, sioni uhusiano wake na JF Doctor...Karibu Paka Nyau hapa JF (naona ni post yako ya kwanza) lakini jukwaa husika la mada yako hii ni MMU!
 
Sioni kuna ukweli hapop,wanawake huwa wanafanya kwa kujificha,
Wanaume wanakua kidogo open.Si unajua mwanaume ni mwanaume
 
wanawake na wanaume cku hizi wote wahuni tena wanawake cku hizi wanatishaaaaaa.
 
Back
Top Bottom