Uaminifu ni mtaji mzuri katika kila nyanja ya maisha

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
34,962
70,472
Katika kila nyanja ya maisha uaminifu huwa ni mtaji mzuri sana ...!
Hii inakupelekea kuaminika sehemu nyingi sana...
Kutana na mwanamama mfanyabiashara alokutana na changamoto nyingi na ngumu sana... Lakini amekuja kufanikiwa!
Ukitia nia kbs kwa dhati mafanikio utayaona! Nilichojifunza kupitia huyu mama ni mengi !
°success is a process
°business requires patience and a lot of sucrifies
°start small..

Nb! Sauti mbovu...wahusika liangalieni hili...

Iwaendee wote wanaopitia changamoto za maisha...tusikate tamaa! Na kushinda hofu!
Lastly its true MONEY BRINGS IN RESPECT!
 
Anamiliki kiwanda cha nini sijaangalia
Uyo mama nimemuelewa Risk Taker iyo mikopo aliyoiingia sio poa, sio kwa hizo changamoto alizo face.

Ila hapo mwisho kwa mwanawe aliyemaliza darasa la saba ndio kumenifanya niparudie ×3 yaani dogo kwa mtaji wa 50,000/= katengeneza 2.5M ndani ya miezi miwili hapa pamenipa changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app

Best pumba ni kitu kingine wa wafugaji...kuna kipindi niliagizwa pumba kutok moro kwend dar ...imaginr unamnunilia mtu mko mwingine ..je km kw siku anauza debe kuanzia 50!?..yt yanawezekan mkuu! Na lzima auze coz mamake tayar an connection! Wachaga wenzake lazima watakuwa wanaend na canter kuchuku mapumba
 
Unamaaaana unalipa hii biashara gunia shingapi na unaweza pata faida ngapi.

Wateja wapo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom