Uajibikaji na uadilifu wa mh harison mwakyembe

atem

Member
Dec 20, 2012
16
20
Kiukweli viongozi wetu wanafanya kazi kwa kunyenyekea hasa kiongozi wetu Rais jk,leo tar 3 mh harison ambae mimi ndie na mheshim katika utendaji kazi wake,leo hii katika kushelekea miaka 36 ya ccm amehutubia wanakigoma lakini hutuba yake imejaa mh mwenyekiti!!kwa namna hiyo basi inaonyesha dhahiri kuwa ni kwa jinsi gani hasa kwa viongozi wa chini(lower class leaders)wasivyokuwa na mamlaka ya kutekeleza wajibu wao bila ya kupitia kwa wakubwa wao hasa katika suala la utekelezaji wao@samahani changia kama umesikiliza hutuba ya mhe mwakyembe@
 
wajingawatu

JF-Expert Member
Jan 20, 2013
1,740
2,000

We bwashee vipi mbona mvivu sana, mistari miwili tu na bado watu hatujakusoma, mara oh umeishachoka. Kwani Kuna mtu alikulazimisha utuletee uongo wako hapa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom