Ufafanuzi biashara ya Uwakala NMB, CRDB, M-PESA n.k

Naomba mwenye uzoefu na biashara ya uwakala wa bank na huduma nyingine za kifedha kama M-pesa nazingine naomba kujua mtaji wa kuanza nao na makadirio ya faida ambayo hupatikana kwa mwezi.
Kuwa makini biashara ya uwakala unapoianza watapeli hawakosekani kukufunza biashara... Ili unielewe vizuri zembea ili ujifunze
 
Pesa bandia zinasambazwa sana kwa wakala wa hawa, maana sio kila hela unaweza istukia.
 
Back
Top Bottom