UAE hotel erects $11-million-dollar Christmas tree

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,781
4,040
capt.e662afde773046f28e82a1946d752a11-e662afde773046f28e82a1946d752a11-0.jpg

A Christmas tree which has been decked out with US$11 million U.S. (euro14.3 million) worth of gold and precious stones, stands at the lobby of the Emirates Palace hotel, in Abu Dhabi, United Arab Emirates, on Thursday Dec. 16, 2010. The hotel's general manager, Hans Olbertz, was quoted in local newspapers Thursday as saying the 43-foot (13-meter) faux fir has 131 ornaments that include gold and precious stones including diamonds and sapphires. The US$11 million symbol of the season has become the latest extravagance at the Emirates Palace hotel, which boasts its own marina, heliport and a vending machine that pops out small gold bars.… Read more
 
MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,781
4,040
Kumbe krismasi ni ya wote, mpaka uharabuni.

Merry christmass
 
Shedafa

JF-Expert Member
May 21, 2008
802
171
Du, laiti hii ingewafikia hata hawa uchwara wetu huku mtaani ingesaidia sana. Leo nilienda shopping kariakoo, nikapenda bidhaa fulani mwenye duka aliponiambia bei nikamwambia naomba unipe discount ya xmas basi. Du, alinuna huyo, nami machale yakacheza upesi upesi nikamwambia discount ya mwaka mpya ndio hapo tukaelewana. Kuna haja mambo kama haya mazuri yakatangazwa kwa nguvu ili waone kwa waasisi wao pia wanatambua na wanashiriki.
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
Yaaaani wameudindisha mkrismas ndani ya UAE. teh Teh teh

Hapo ndo unaona wenye dini zao zilikoanzia ( christian/muslim) wako tofauti na sisi.
 
ngwendu

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
1,965
173
waarabu huwa nawaona kama wajinga vile? US dollar 11, hou si uchizi kweli? wapo watu wanakufa kwa shida Irak, Palestina, Afghanistan, Sudan, Haiti na sehemu nyinginezo nyingi, kwa nini wasizipeleke huko hizo hela kama hazina matumizi kwao. Mbona wazungu hawafanyi mambo yakijinga kama yapo pamoja na kuwa wameendelea zaidi kuliko hao waarabu, wanaona bora hata badget za nchi zetu kuliko upumbavu huo wa UAE?
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,447

Happy Xmas mkuu!
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,522
62,764
Du, laiti hii ingewafikia hata hawa uchwara wetu huku mtaani ingesaidia sana. Leo nilienda shopping kariakoo, nikapenda bidhaa fulani mwenye duka aliponiambia bei nikamwambia naomba unipe discount ya xmas basi. Du, alinuna huyo, nami machale yakacheza upesi upesi nikamwambia discount ya mwaka mpya ndio hapo tukaelewana. Kuna haja mambo kama haya mazuri yakatangazwa kwa nguvu ili waone kwa waasisi wao pia wanatambua na wanashiriki.

Osie iweee, eka utani wako mia!!
 
Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
330

Safiii naona Mashekh na Mamullah wanashangaa mti huo..Xmas nzuri ati hata wachina na Wajapan wanapumzika na kusherekea xmas japo wengi wao si Wakristo nadhani na Waarabu watajiunga nasi kusherekea sikuku hii muhimu kwa mwanadamu!
 
MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,781
4,040
Safiii naona Mashekh na Mamullah wanashangaa mti huo..Xmas nzuri ati hata wachina na Wajapan wanapumzika na kusherekea xmas japo wengi wao si Wakristo nadhani na Waarabu watajiunga nasi kusherekea sikuku hii muhimu kwa mwanadamu!

Bravo mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom