U-turn ya ITV kwenye uchaguzi huu inatokana na nini?

ITV ndio ulikuwa TV pekee inayotoa taarifa za mikutano yote ya kampeni kwa uhalisia na uwazi lakini jana, leo na siku moja huko nyuma waliacha kutoa taarifa za mikutano ya Lissu kwanini?

Tuliona hivyo Lissu alivyokuwa Chato, Pemba na leo Kusini.

Tujadiliane nini haswa kwa mabadiliko haya?
Labda wamewatukana kama walivyofanya kwa TBC
 
endelea tu kuwasifia kama hapo awali, nakumbuka juzi umepandisha uzi ukimsifu mtangazaji wa kituo hicho hicho,sasa kiko wapi mkuu??

Tutaelewana tu, ITV wamekosa cha kuripoti sababu lisu kila siku maneno yale yale"nitaingiza watu barabarani" wamechokaa

#any way kwa kuwa mmewakosoa kesho tune itv wataripoti japo kwa shingo upande!!😂😂
Mpaka sasa bado namsifia na ninafanya njama kumhamishia Chadema Media
 
Nchi hii kamwe haiwezi ongozwa na watu wanao fungamana na mapenzi ya jinsia mmoja.
 
Wahuni wa matusi mwiko...ni sera tu zinatakiwa na mkumbuke kuna maisha mengine baada ya uchaguzi.siasa za maji taka mwisho tarehe 27 na baada ya hapo hakutakua tena na siasa hizo hadi 2025.kama kawa itakua kila mtu afanye siasa kwenye jimbo lake la uchaguzi sasa nyie mtapata majimbo mangapi beibe!
 
Wamejitahidi sana kumvumilia Lissu na lugha zake chafu, wame edit sana, lakini kila siku anaongeza lugha za kimachafuko na kifedhuli, nadhani ITV wamestuka wasijekushtakiwa as part of genocide kama ilivyotokea Rwanda kwa baadhi ya vyombo vya habari. Lissu ni kichaa . ova.
 
Tv inayotangaza no hiii ya wakenya
Screenshot_20201024-061416.jpg
 
Back
Top Bottom