Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 9,851
- 19,750
1. Skana ya bandari ya Dar
2. Skendo ya bandari ya Bagamoyo
3. Hospital na Muhimbili na MRI scanner
4. Upigaji na ufisadi wa viongozi kwa mali za umma
5. Watumishi na wanachuo hewa
6. Mikataba mibovu (madini, ardhi, gesi, biashara, nk)
7. Skendo za UVIKO-19 na related package za mikopo
8. Miradi mikubwa: JNHPP, miundombinu ya barabara na treni ya umeme, huduma za maji, shule, hospitali, na vituo vya jamii, taasisi muhimu kama vile mahakama ya mafisadi, Kituo cha Mabasi cha Magufuli Mbezi Luis, barabara za kisasa, kujengwa kwa mifugale (flyovers) bora na ya kisasa, daraja la Salender
9. Uwajibikaji serikalini (kesi zilikuwa zinacheleweshwa makusudi ili mafisadi wapige dollaz)
10. Mgawanyiko ndani ya Sisiemu ukadhibitiwa, Sisiemu ikafufuliwa
11. Ukaguzi na uhakiki wa mali za umma na mali za chama
12. Wale watumishi wa milioni 17 kwa mwezi na mishahara ya watumishi kibao kwa mtu mmoja
13. Migogoro kibao ya ardhi
14. Issue ya ^Unajua mimi ni nani^
15. Rander na usafiri wa anga
16. Ujenzi na ukarabati wa meli
17. Kufutwa kwa UTITIRI wa tozo na kodi kandamizi kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa
18. ^Uza, Toa Risiti; Nunua, Dai Risiti!^
19. Madawa ya kulevya
20. Safari kibao za nje zisizokuwa na tija kwa taifa
21. Marupurupu na posho za kamati zinazoundwa ili kuchunguza ripoti ya kamati iliyoundwa kufuatilia utekelezaji wa kamati ndogo kwenye mradi fulani!
22. Siasa za kujitegemea kuliko kukopa tuu kwa ajili ya maendeleo.
23. Ufufuaji wa viwanda kama msingi na ukuta na mhimili wa maendeleo hilimivu.
24. Hakuna tena mikopo kucheleweshwa kwa wanachuo, eti hadi waandamane.
25. Sera ya ^Hili tunalimaliza hapahapa!^