U.S. Voices Concern at Tanzania's Arrest of Opposition Politician

Imefika mahali mtu unabaki unajiuliza,hivi hii nchi ina washauri wenye weledi kweli? Wangukuwepo nadhan hakuna mtu angekubali kuleta haya mambo ya ugaid
Mtu akipanga kuuwa watu , awe wa ccm ama wa chama chochote lazima apate sitahiki yake.
 
The act of questioning the opponents for half an hour, he already gets the answer to say about what led to the arrest of the Chadema chairman?

He forgets that, Those who arrested him sleep and wake up every day while they are here in the country?

Does the goat know the chairman outside and inside kuliko Watanzania wanao kaa naye kila siku?
Kiswahili kwa maneno ya chingelesi haviswihi na ni vigumu kueleweka kuliko chingelesi kwa maneno na sarufi yake.
 
The act of questioning the opponents for half an hour, he already gets the answer to say about what led to the arrest of the Chadema chairman?

He forgets that, Those who arrested him sleep and wake up every day while they are here in the country?

Does the goat know the chairman outside and inside kuliko Watanzania wanao kaa naye kila siku?
Embu wewe leta unayoyajua kuhusiana na mbowe-Unajaribu kusema Biden ili ajue yanayoendelea Tanzania ni lazima awe amekuja kuishi na sisi hapa? Try to improve your thinking mzee
 
Wewe hata kama unaishi hapa waweza usijue kitu.
Biden aweza jua zaidi nakwaushahidi hata akiwa mbali.
Kubali Kutanguliwa kimfumo
 
Umeongea vyema sana mkuu,Jamaa analeta hoja za kipuuzi kwamba marekani haiwezi kujua mambo ya Tanzania kuliko jeshi la polisi lililopo nyumbani,Rubbish
 
Mlevi huyo,wale akina Bawacha kwenda ubalozini watu humu Owen he mtandao waliwashambulia ila hawakujua ule ujumbe ulienda kwa kasi ya 100GB.
Huwezi kanyaga pale ubalozini bila wao kukupanga/kukupangia.
Huruhusiwi hata kupiga picha pale bila idhini yao
 
Back
Top Bottom