beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Marekani memfutia viza ya kuingia nchini humo, Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu(ICC), Fatou Bensouda, aliyetaka Majeshi ya Marekani nchini Afghanistan yachunguzwe juu ya uhalifu wa kivita
Katibu Mkuu wa Marekani, Mike Pompeo mwezi uliopita alisema kuwa nchi yake itazifuta au kutozikubali viza za Wafanyakazi wa ICC wanaochunguza madai hayo dhidi ya Majeshi ya Marekani au washirika wake
Hata hivyo, inaaminika kuwa hatua hiyo haitaathiri safari za Bensouda za kwenda Marekani mara kwa mara kutimiza majukumu yake kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa ambapo huenda kutoa taarifa za kesi katika Mahakama hiyo zifunguliwa na Umoja huo
Aidha, Msemaji wa Idara ya Marekani amesema Wafanyakazi wa Mashirika wanaotarajia kusafiri kwenda kwenye ofisi za UN wanaweza kufanya utaratibu wa kuchukua viza za Kidiplomasia
Bensouda amekuwa akichunguza madai ya kuwepo kwa uhalifu wa kivita unaofanywa na majeshi ya pande zote kwenye mapigano huko Afghanistan tangu Novemba 2017 pamoja na uwezekano Marekani kuhusika hususani wakati wa kuwaweka kizuizini Wahalifu
====
The United States has revoked the entry visa of the prosecutor of the International Criminal Court, Fatou Bensouda, her office said on Thursday, a response to her inquiry into possible war crimes by U.S. forces in Afghanistan.
Secretary of State Mike Pompeo said last month the U.S. would withdraw or deny visas to ICC staff investigating such allegations against U.S. forces or their allies .
United Nations human rights experts called the reaction "improper interference" in the work of the world's permanent war crimes court. It also drew criticism from within the European Union.
"We can confirm that the U.S. authorities have revoked the prosecutor's visa for entry into the U.S.," Bensouda's office told Reuters in an e-mail.
It said it understood the move should not impact Bensouda's travel to the U.S. to meet her United Nations obligations.
The ICC is not a U.N. court, but Bensouda travels regularly to brief the U.N. Security Council on cases referred to The Hague by the UN body.
A State Department spokesman said members of international organizations planning official travel to the U.N. could apply for diplomatic visas. "We recommend that applicants apply as early as possible to maximize the chances of being found eligible," the spokesman said.
The U.S. in not a member of the ICC, along with other major powers Russia and China.
The office of the prosecutor said on Thursday that Bensouda would exercise her duties "without fear or favor".
She has been investigating alleged war crimes by all parties in the conflict in Afghanistan since November 2017, including the possible role of U.S. personnel in relation to the detention of suspects.
ICC judges are still reviewing materials and have not yet handed down a decision on opening a formal investigation in Afghanistan.
The ICC is a court of last resort with 122 member states. It acts only when countries within its jurisdiction are found to be unable or unwilling to seriously investigate war crimes, genocide or other serious atrocities.
Sent using Jamii Forums mobile app