Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,681
- 11,120
Tatizo sio wanachama na huyo bidada alikuwa ameomba wajiunge ili washitakiwemarekani naushirika wao wa NATO waliingia iraq, libya bila kibali cha UN hii sababu tosha nao kushitakiwa jambo ambalo hawalitaki kamwe