U.S. Intelligence Found Iran Nuke Document Was Forged

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
U.S. Intelligence Found Iran Nuke Document Was Forged

IPSNews

U.S. intelligence has concluded that the document published recently by the Times of London, which purportedly describes an Iranian plan to do experiments on what the newspaper described as a "neutron initiator" for an atomic weapon, is a fabrication, according to a former Central Intelligence Agency official.

Philip Giraldi, who was a CIA counterterrorism official from 1976 to 1992, told IPS that intelligence sources say that the United States had nothing to do with forging the document, and that Israel is the primary suspect. The sources do not rule out a British role in the fabrication, however.

The Times of London story published Dec. 14 did not identify the source of the document. But it quoted "an Asian intelligence source" - a term some news media have used for Israeli intelligence officials - as confirming that his government believes Iran was working on a neutron initiator as recently as 2007.

The story of the purported Iranian document prompted a new round of expressions of U.S. and European support for tougher sanctions against Iran and reminders of Israel's threats to attack Iranian nuclear programme targets if diplomacy fails.

U.S. news media reporting has left the impression that U.S. intelligence analysts have not made up their mind about the document's authenticity, although it has been widely reported that they have now had a full year to assess the issue.

Giraldi's intelligence sources did not reveal all the reasons that led analysts to conclude that the purported Iran document had been fabricated by a foreign intelligence agency. But their suspicions of fraud were prompted in part by the source of the story, according to Giraldi.

"The Rupert Murdoch chain has been used extensively to publish false intelligence from the Israelis and occasionally from the British government," Giraldi said.

The Times is part of a Murdoch publishing empire that includes the Sunday Times, Fox News and the New York Post. All Murdoch-owned news media report on Iran with an aggressively pro-Israeli slant.

The document itself also had a number of red flags suggesting possible or likely fraud.

The subject of the two-page document which the Times published in English translation would be highly classified under any state's security system. Yet there is no confidentiality marking on the document, as can be seen from the photograph of the Farsi-language original published by the Times.

The absence of security markings has been cited by the Iranian ambassador to the International Atomic Energy Agency, Ali Asghar Soltanieh, as evidence that the "alleged studies" documents, which were supposedly purloined from an alleged Iranian nuclear weapons-related programme early in this decade, are forgeries.

The document also lacks any information identifying either the issuing office or the intended recipients. The document refers cryptically to "the Centre", "the Institute", "the Committee", and the "neutron group".

The document's extreme vagueness about the institutions does not appear to match the concreteness of the plans, which call for hiring eight individuals for different tasks for very specific numbers of hours for a four-year time frame.

Including security markings and such identifying information in a document increases the likelihood of errors that would give the fraud away.

The absence of any date on the document also conflicts with the specificity of much of the information. The Times reported that unidentified "foreign intelligence agencies" had dated the document to early 2007, but gave no reason for that judgment.

An obvious motive for suggesting the early 2007 date is that it would discredit the U.S. intelligence community's November 2007 National Intelligence Estimate, which concluded that Iran had discontinued unidentified work on nuclear weapons and had not resumed it as of the time of the estimate.

Discrediting the NIE has been a major objective of the Israeli government for the past two years, and the British and French governments have supported the Israeli effort.

The biggest reason for suspecting that the document is a fraud is its obvious effort to suggest past Iranian experiments related to a neutron initiator. After proposing experiments on detecting pulsed neutrons, the document refers to "locations where such experiments used to be conducted".

That reference plays to the widespread assumption, which has been embraced by the International Atomic Energy Agency, that Iran had carried out experiments with Polonium-210 in the late 1980s, indicating an interest in neutron initiators. The IAEA referred in reports from 2004 through 2007 to its belief that the experiment with Polonium-210 had potential relevance to making "a neutron initiator in some designs of nuclear weapons".

The National Council of Resistance of Iran (NCRI), the political arm of the terrorist organisation Mujahedeen-e Khalq, claimed in February 2005 that Iran's research with Polonium-210 was continuing and that it was now close to producing a neutron initiator for a nuclear weapon.

Sanger and Broad were so convinced that the Polonium-210 experiments proved Iran's interest in a neutron initiator that they referred in their story on the leaked document to both the IAEA reports on the experiments in the late 1980s and the claim by NCRI of continuing Iranian work on such a nuclear trigger.

What Sanger and Broad failed to report, however, is that the IAEA has acknowledged that it was mistaken in its earlier assessment that the Polonium-210 experiments were related to a neutron initiator.

After seeing the complete documentation on the original project, including complete copies of the reactor logbook for the entire period, the IAEA concluded in its Feb. 22, 2008 report that Iran's explanations that the Polonium-210 project was fundamental research with the eventual aim of possible application to radio isotope batteries was "consistent with the Agency's findings and with other information available to it".

The IAEA report said the issue of Polonium-210 – and thus the earlier suspicion of an Iranian interest in using it as a neutron initiator for a nuclear weapon - was now considered "no longer outstanding".

New York Times reporters David Sanger and William J. Broad reported U.S. intelligence officials as saying the intelligence analysts "have yet to authenticate the document". Sanger and Broad explained the failure to do so, however, as a result of excessive caution left over from the CIA's having failed to brand as a fabrication the document purporting to show an Iraqi effort to buy uranium in Niger.

The Washington Post's Joby Warrick dismissed the possibility that the document might be found to be fraudulent. "There is no way to establish the authenticity or original source of the document...," wrote Warrick.

But the line that the intelligence community had authenticated it evidently reflected the Barack Obama administration's desire to avoid undercutting a story that supports its efforts to get Russian and Chinese support for tougher sanctions against Iran.

This is not the first time that Giraldi has been tipped off by his intelligence sources on forged documents. Giraldi identified the individual or office responsible for creating the two most notorious forged documents in recent U.S. intelligence history.

In 2005, Giraldi identified Michael Ledeen, the extreme right-wing former consultant to the National Security Council and the Pentagon, as an author of the fabricated letter purporting to show Iraqi interest in purchasing uranium from Niger. That letter was used by the George W. Bush administration to bolster its false case that Saddam Hussein had an active nuclear weapons programme.

Giraldi also identified officials in the "Office of Special Plans" who worked under Undersecretary of Defense for Policy Douglas Feith as having forged a letter purportedly written by Hussein's intelligence director, Tahir Jalail Habbush al-Tikriti, to Hussein himself referring to an Iraqi intelligence operation to arrange for an unidentified shipment from Niger.

__________________
Gareth Porter is an investigative historian and journalist specialising in U.S. national security policy. The paperback edition of his latest book, "Perils of Dominance: Imbalance of Power and the Road to War in Vietnam", was published in 2006.
 
Soon or later hizo nuclear enrichment site za Iranians zitakuwa wiped out na Waisrael...theres no way Israel akamwacha Irans awe nuclear power,wako kimya lakini babu Ahmedjad soon moto utakuwakia wanajua zilipo na wana mabomu ya kutandika hata mita mia chini ya ardhi,Obama hawezi kuwaambia chochote hawa jews na upande mwingine ingawaje Obama hawezi kuwashambulia Iran lakini ana wish Israel wafanye hiyo dirty job....Iranians soon mtanyukwa mbaya sana.
 
Nasikia hata JF siku hizi kuna mayahudi weusi... ushabiki mwingine kazi kweli kweli!
 
wewe xpaster sijui paroko,nani kakuambia huo ni ushabiki...sipendi dini zote
Punguza jazba... alafu pole.. hakuna binadamu asiyekuwa na dini... kama ujui uliza nini maana ya dini.
 
Punguza jazba... alafu pole.. hakuna binadamu asiyekuwa na dini... kama ujui uliza nini maana ya dini.

...u call yourself natural born extremist? hiyo pole jipe wewe na watu kama nyie ndio matatizo yote dunia hii yanaanzia kwenu,pls tupunguzieni matatizo tumechoka.
 
...u call yourself natural born extremist? hiyo pole jipe wewe na watu kama nyie ndio matatizo yote dunia hii yanaanzia kwenu,pls tupunguzieni matatizo tumechoka.
Pole kwa machovu mkuu, dunia ndivyo ilivyo... sote hatuko sawa. Wako wafuatao mkumbo kama wewe na tupo wengine wenye kuchuja habari kabla ya kuziamini na kuzijfuata.
 
Soon or later hizo nuclear enrichment site za Iranians zitakuwa wiped out na Waisrael...theres no way Israel akamwacha Irans awe nuclear power,wako kimya lakini babu Ahmedjad soon moto utakuwakia wanajua zilipo na wana mabomu ya kutandika hata mita mia chini ya ardhi,Obama hawezi kuwaambia chochote hawa jews na upande mwingine ingawaje Obama hawezi kuwashambulia Iran lakini ana wish Israel wafanye hiyo dirty job....Iranians soon mtanyukwa mbaya sana.

Mkuu kama kweli unafuatilia hali halisi utajua wazi kuwa kelele zote za Isarel ni kuomba msaada, hata Mossad na IDF wanasema wazi kuwa Israel alone hawaiwezi Iran, ikijaribu inaweza kweli kuwa wiped out of the world map. Ukumbuke kuwa Iran hawako cheap kama waarabu hawanunuliki na kuwa tricked, wanajua wanachokifanya na wanapiga mahesabu sana. Na kama unajua distance ya hizo sites kutoka Israel, kama unajua uwezo wa air defence ya Iran hasa kwenye hizo sites (kwa sasa Nantaz ni sehemu yenye air defence kali zaidi kuliko White House, Pentagon na CIA Virginia) hakuna Jet inayoweza kwenda kijinga bila kushtukiwa, na kama ikienda Iran wamesema kabisa kabla haijarudi Israel runway zote zitakuwa zimeharibiwa. Simply kuwa military option ni hatari zaidi kuliko kuiacha Iran iwe na bomu, hizi sites ziko sparse na ni underground, hata bunker busters haziwezi kuwa effective. Hii ni habari ambayo iko kwenye public domain, kwa hiyo mchezo wa Osirak hauwezekani kabisa, kwa maana nyingine hiyo option haipo kabisa. Chimba kidogo ujue undani wa issue tusiwe mashabiki tu.
 
X-Paster naona uku obsessed na Iran/Marekani/Israel issues!Come on wewe ni mtanzania mweusi?Unajua tunamatatizo yetu ya nchi than kutumia hii blog kuadvance Islamist ideas zako?

Tuna matatizo ya umeme,ufisadi,elimu ,underdevelopment etc ndani ya taifa letu.Haya mambo ya nchi hizo yanakuhusu nini wewe?
 
Kwanini unakuwa na akili finyu, humu jf issues zote zinajadiliwa kwa kina za kifisadi na maendeleo

Tatizo lako wanaposemwa wamerikani na Israel unajinyea kulikoni?

Hivi huelewi kuwa ufisadi wa Tanzania pia unasababishwa na hao mabwana zako unao watetea? mfano ufisadi huu umechangiwa nahao Mabwana zako;

~ President Jet

~Rader

~Madini

Mabwana zako ndio walio warubuni viongozi wetu na wengine wana lobby kuakikisha mikataba ya madini inabaki kwa maslai yao, Hiv wewe Mmakonde kama kweli ni Mmakonde , ni mtu wa namana gani? hau ndio nyie waizraeli wausi mliomo humu jf?

Mtalaanika kwa kutetea kwenu udhalimu.
 
Mkuu kama kweli unafuatilia hali halisi utajua wazi kuwa kelele zote za Isarel ni kuomba msaada, hata Mossad na IDF wanasema wazi kuwa Israel alone hawaiwezi Iran, ikijaribu inaweza kweli kuwa wiped out of the world map. Ukumbuke kuwa Iran hawako cheap kama waarabu hawanunuliki na kuwa tricked, wanajua wanachokifanya na wanapiga mahesabu sana. Na kama unajua distance ya hizo sites kutoka Israel, kama unajua uwezo wa air defence ya Iran hasa kwenye hizo sites (kwa sasa Nantaz ni sehemu yenye air defence kali zaidi kuliko White House, Pentagon na CIA Virginia) hakuna Jet inayoweza kwenda kijinga bila kushtukiwa, na kama ikienda Iran wamesema kabisa kabla haijarudi Israel runway zote zitakuwa zimeharibiwa. Simply kuwa military option ni hatari zaidi kuliko kuiacha Iran iwe na bomu, hizi sites ziko sparse na ni underground, hata bunker busters haziwezi kuwa effective. Hii ni habari ambayo iko kwenye public domain, kwa hiyo mchezo wa Osirak hauwezekani kabisa, kwa maana nyingine hiyo option haipo kabisa. Chimba kidogo ujue undani wa issue tusiwe mashabiki tu.

Inaelekea wewe hujui history ya mashariki ya kati kama ungekuwa unaijua hata kwa asilimia ndogo usingeandika kwa kukurupuka.Juzi waziri mkuu wa Israel alikuwa Russia kwaajili ya kuwaomba wasiiuzie Iran makombora ya ulinzi wa anga !.Jiulize kama Iran inaulinzi mzuri ni kwanini inakimbilia Russia kuomba iuziwe makombora.Israel imewahi kuzichapa nchi tano za kiarabu bila shida yoyote sasa unapoishabikia kwamba Israel haina uwezo wa kuitandika Iran ni vyema ukaja na facts si habari za kuokoteza.
 
X-Paster naona uku obsessed na Iran/Marekani/Israel issues!Come on wewe ni mtanzania mweusi?Unajua tunamatatizo yetu ya nchi than kutumia hii blog kuadvance Islamist ideas zako?

Tuna matatizo ya umeme,ufisadi,elimu ,underdevelopment etc ndani ya taifa letu.Haya mambo ya nchi hizo yanakuhusu nini wewe?
Una uhakika kuwa mimi ni mtanzania mweusi kama unavyo dhani?

Hayo mambo ya dunia au nchi hizo kama ulivyo ziita zinamuhusu kila raiya wa dunia hii. wakiwemo mimi na wewe na wengine.

Soma hizi thread labda zitakusaidia.

mapinduzi ya fikra | kusema kweli | vipi refa anapoamua kukwatua | mkijirekebisha mtakaribishwa
 
Inaelekea wewe hujui history ya mashariki ya kati kama ungekuwa unaijua hata kwa asilimia ndogo usingeandika kwa kukurupuka.Juzi waziri mkuu wa Israel alikuwa Russia kwaajili ya kuwaomba wasiiuzie Iran makombora ya ulinzi wa anga !.Jiulize kama Iran inaulinzi mzuri ni kwanini inakimbilia Russia kuomba iuziwe makombora.Israel imewahi kuzichapa nchi tano za kiarabu bila shida yoyote sasa unapoishabikia kwamba Israel haina uwezo wa kuitandika Iran ni vyema ukaja na facts si habari za kuokoteza.
Ungekuwa kweli unaijuwa historia ya mashariki ya kati, usinge ihita Iran kuwa ni nchi ya kiarabu.
 
Inaelekea wewe hujui history ya mashariki ya kati kama ungekuwa unaijua hata kwa asilimia ndogo usingeandika kwa kukurupuka.Juzi waziri mkuu wa Israel alikuwa Russia kwaajili ya kuwaomba wasiiuzie Iran makombora ya ulinzi wa anga !.Jiulize kama Iran inaulinzi mzuri ni kwanini inakimbilia Russia kuomba iuziwe makombora.Israel imewahi kuzichapa nchi tano za kiarabu bila shida yoyote sasa unapoishabikia kwamba Israel haina uwezo wa kuitandika Iran ni vyema ukaja na facts si habari za kuokoteza.

sawa mkuu, mimi sishabikii upande wowote, si shabiki wa Israel wala wa Iran, ni obsever tu ninayefuatilia issues kuwa karibu na wakati. Kama wewe unajiona una akili sana kuliko wairan wote, well and good, lakini mimi sioni waisrael hawana akili, Nentanyahu anajua anachoenda kufanya, kama unajua Iran in air defence kiasi gani, well and good, kama unajua ni kwanini sasa hivi Israel inahangaika na kuomba msaada kila kukicha hata kuomba bunker buster kwa Marekani, hata F 16 na F 22, then you will know what it means.

If you are aware of the involvement of Russia in the Iranian nuclear issue, if you are a little bit conversant with the interplay between American Missile defense shield, it's implication on Russia's deterrence capabilities, American middle east policy, Situation in occupied territories, and what happen in Iraq and Afghanistan, you would have know that it not a small thing that Israel is trying to deal with, and to the least that Iran is non of those five Arabic countries you are talking about, far far better.

Kama mtu akija na lame layman argument, au akija christian fundamentalist ambaye hajui kuwa Israel is a jewish not a christian state, then kunaweza kuwa na ushabiki. Lakini msomi na mwenyewe uwezo wa kusoma kati ya mistari, anaweza kuona kuwa Iran na Israel wote si wajinga, kuliko washabiki. You can ask yourself a simple question, why is Israel not doing it, why would Bibi go to Beg to Russians while they can just drag Americans? Why is Ayatollah so quiet and confident? why is Ahmedinejad making noise like a toad?

What are the costs of military option to deny Iran having a nuke? Marekani na Israel tayari wanalo jibu. What will be the cost of living with Nuclear Iran, and its geapolitical ramifications? Russia wanajua vizuri.

So mkuu wewe lete facts ambazo zinakuthibitishia uwezo wa Israel kustrike, naona mimi niko stone age sizijui.
 
Back
Top Bottom