U.S. Immigration issues Forum

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Messages
986
Points
1,225

Quemu

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2007
986 1,225
Hiyo link hapo chini ni ya Forum ya U.S. immigration issues. Huwa ninapenda kuitembelea sana kwa sababu inanielimisha mengi kuhusu U.S. immigration issues. Kwa hiyo ningependa kuwashauri wale wote wanaoishi U.S. na ambao wana matatizo na status zao, kujaribu kuchungulia humo au pengine kujiandikisha kwenye hiyo forum na kuuliza maswali yanayohusu matatizo ya status zao. Huwa kuna immigration lawyers ambao wanavoluntia kujibu maswali mbalimbali.

Forum hii ni mzuri pia kwa wale wanategemea kuja U.S. kwa shughuli zozote - kutembea, kusoma, kufanya kazi, kuishi, n.k.

http://community.lawyers.com/messageboards/board.asp?channelId=18&mbId=20

Just thought of sharing~
 

Forum statistics

Threads 1,366,016
Members 521,369
Posts 33,358,650
Top