U.S firm to boost power supply to Tanzania; Company to add extra 250 MW to grid

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=1][/h]Sat Sep 17, 2011 10:14am GMT

* Company to add extra 250 MW to grid
* Tanzania experiencing blackouts

By Fumbuka Ng'wanakilala

DAR ES SALAAM, Sept 17 (Reuters) - U.S. firm Symbion Power plans to boost electricity supply to energy-deficient Tanzania to 317 megawatts (MW), up from the company's current output of 112 MW on the back of strong energy demand in east Africa's second-largest economy, officials said late on Friday.

Power generation equipment for an initial 50 MW is expected to arrive in Tanzania by the end of the month, the company's chief executive officer, Paul Hinks, said in a statement.

The firm acquired a 112 MW thermal power plant in Tanzania's commercial capital Dar es Salaam in May.

Symbion said it was previously unable to generate electricity at full capacity due to shortages in natural gas supply.

"The forthcoming 50 MW is part of the total additional 205 MW that will be incrementally added to the existing 112 MW, bringing the total megawatts produced by Symbion to 317," the company said in an emailed response to questions sent by Reuters.

The company declined to reveal how much it plans to invest in Tanzania towards the additional power generation capacity.

The Tanzanian government said it plans to spend 1.2 trillion shillings ($733.7 million) by the end of next year for emergency power projects aimed at ending chronic energy shortages in the country.

The nation's parliament approved an emergency power rescue package in August expected to add 572MW to the national power grid by December 2012 against the current deficit of 260 MW.

Tanzania's public power utility introduced rolling blackouts nearly a year ago due to recurring drought and under-capacity of the existing natural gas supply infrastructure.

The International Monetary Fund (IMF) cut its 2011 growth forecast for Tanzania to 6 percent from 7.2 percent in March, saying frequent power outages would hurt output.

Tanzania's economic growth slowed consecutively in the first two quarters of this year compared to the same period last year, according to data from state-run National Bureau of Statistics. ($1 = 1635.500 Tanzanian Shillings) (Editing by George Obulutsa)

© Thomson Reuters 2011 All rights reserved

I have bad feeling about this Symbion deal but .... but let me watch from outside what's going then I will be back for more comments .... something is smelling real fish here!

What a timely, superb and laudable move the government has done. This will probably help silence its fault-finders and the like disparagers who have been so vitriol recently. The government has done what is said drastic times call for drastic measures! At least the newspapers headlines will now bear something positive about their government.

that makes us two!!!!
I have a very bad feeling about it!! The negotiating was led by same bogus who signed richmond, iptl, songas and panafrica!!! Some of them now running for mp somewhere in central tanzania. Probably later to become ministers!!!

i have bad feeling about this symbion deal but .... But let me watch from outside what's going then i will be back for more comments .... Something is smelling real fish here!

kampeni 2015 zimeanza mapemaaaaa, lakini tanzania ni zaidi ya umeme

I said no to Richmond, repeated the same to Dowans and again am saying the same to Symbion!

All these are crooked deals and absolutely no one can change that!

Yameshakuwa hayo sasa ya kuitwa Kampuni ya kimarekani? Jina tu ndio lilobadilika hakuna kitu ni usanii hapo

What a timely, superb and laudable move the government has done. This will probably help silence its fault-finders and the like disparagers who have been so vitriol recently. The government has done what is said drastic times call for drastic measures! At least the newspapers headlines will now bear something positive about their government.

Mwita25!, Mwita 25! is this a timely response? is this a superb? is this a laudable achievement to the government? mimi nadhani umetangaza mgogoro na wenye Lugha yao, sina ugomvi na sentensi hii nina ugomvi na sifa ambayo maneno haya yamebeba na taasi yenye hadhi yakuambiwa hivyo. Mimi nakufuatilia sana, nahisi nimeanza kukufahamu kuwa wewe ni msomi na mtu mwelevu sana lakini unasumbuliwa na utukutu wa serikali na chama unachokitetea kwani kwa sasa hakina hadhi ya maneo hayo

Hivi Mwita 25 gari la zimamoto linalokuja masaa manne baada ya nyumba kuwaka moto hata kama mkuu wa zimamoto ni baba yako na mwendesha gari ni kaka wa mama yako kweli utawasifu na kusema hiyo ni timely, superb and laudable response? Na unadhani kwa kuwasifu hivyo inatosha kuwanyamazisha critique wake? ni kweli hii ni drastic measure in drastic time? Sasa mimi nikwambie sifa moja ambayo wasomi wote wanaitumia katika hali hii hua tunanyamaza tu. Ukinyamaza inalipa sana katika siasa, ukiamua kusema halafu majibu yako yasitosheleza mahitaji ya wadau wako ni kama umemwagia petroli kwenye moto. Chama chako na serikali yetu ni watukutu, toto tundu, wanaharibu mengi zaidi kuliko mema wanayofanya, na mema wanayofanya wameyafanya kwa gharama kubwa ya kisiasa na kiuchumi kiasi kwamba uzuri huo hauna dhamani mbele ya umma wa watanzania. Wanajenga barabara ndiyo lakini ndani ya mikataba mibovu na ya kinyonyaji and little value for manry, wanawaleta wawekezaji nchini katika sekta nyingi na kwa kufanya hivyo wameiongezea serikali kodi, ajira kwa watanzania lakini they have signed contracts at throw away prices. Wamewekeza katika elimu lakini shule na vyuo vyetu vinazalisha wajinga wengi kuliko welevu yaani wat wasiokithi haja hata kwa sokjo la ndani achilia mbali kushindana. Wamepanua huduma za afya lakini zisizo na waganga wala dawa ni magofu tu. Tutaendelea kuwan'gang'ania mpaka kieleweke na nikwambia sisi tuliyeko upande wa kukataa ndiyo tunachangie hata wewe uweze kuona chama chako na serikali yetu anagalau inafanya hicho kidogo. laiti wote tungekuwa mbumbu tuwe upande wako na wenzako ungeshuhudia kiama.

Sick and Tired of unaccomplished plans hence not even interested with Watts, Kilowatts and Megawatts. Need to witness things get moving even with 10MW archived.

Kwani zote hizo si ni hiyo hiyo tu imebadilishwa majina? Ila wabongo kusikia kachukua mvaa suti na tai mnaogopa hata kusema fyoko tunatamani yule mvaa kanzu angekuwa bado mmiliki nadhani kwa adha hii ya umeme kingekuwa kimeshaeleweka.
I said no to Richmond, repeated the same to Dowans and again am saying the same to Symbion!

All these are crooked deals and absolutely no one can change that!

Mkuu umeongea sanaaaaa kama sio msomi bwana! Well kuna sehemu umesema ukiwa msomi unanyamaza! Unataka kusema ndio maana wasomi wamenyamaza kuhusu suala la mgao na ahadi hewa? Au kwakuwa dowans wamepewa US company na bi Hillary akaisifu? Kwa usomi wako hivi hii kampuni ingekuwa bado kwenye umiliki wa yule mvaa makanzu pangetosha kweli?wewe kama msomi acha unafiki linganisha na toa fair answer.
Mwita25!, Mwita 25! is this a timely response? is this a superb? is this a laudable achievement to the government? mimi nadhani umetangaza mgogoro na wenye Lugha yao, sina ugomvi na sentensi hii nina ugomvi na sifa ambayo maneno haya yamebeba na taasi yenye hadhi yakuambiwa hivyo. Mimi nakufuatilia sana, nahisi nimeanza kukufahamu kuwa wewe ni msomi na mtu mwelevu sana lakini unasumbuliwa na utukutu wa serikali na chama unachokitetea kwani kwa sasa hakina hadhi ya maneo hayo

Hivi Mwita 25 gari la zimamoto linalokuja masaa manne baada ya nyumba kuwaka moto hata kama mkuu wa zimamoto ni baba yako na mwendesha gari ni kaka wa mama yako kweli utawasifu na kusema hiyo ni timely, superb and laudable response? Na unadhani kwa kuwasifu hivyo inatosha kuwanyamazisha critique wake? ni kweli hii ni drastic measure in drastic time? Sasa mimi nikwambie sifa moja ambayo wasomi wote wanaitumia katika hali hii hua tunanyamaza tu. Ukinyamaza inalipa sana katika siasa, ukiamua kusema halafu majibu yako yasitosheleza mahitaji ya wadau wako ni kama umemwagia petroli kwenye moto. Chama chako na serikali yetu ni watukutu, toto tundu, wanaharibu mengi zaidi kuliko mema wanayofanya, na mema wanayofanya wameyafanya kwa gharama kubwa ya kisiasa na kiuchumi kiasi kwamba uzuri huo hauna dhamani mbele ya umma wa watanzania. Wanajenga barabara ndiyo lakini ndani ya mikataba mibovu na ya kinyonyaji and little value for manry, wanawaleta wawekezaji nchini katika sekta nyingi na kwa kufanya hivyo wameiongezea serikali kodi, ajira kwa watanzania lakini they have signed contracts at throw away prices. Wamewekeza katika elimu lakini shule na vyuo vyetu vinazalisha wajinga wengi kuliko welevu yaani wat wasiokithi haja hata kwa sokjo la ndani achilia mbali kushindana. Wamepanua huduma za afya lakini zisizo na waganga wala dawa ni magofu tu. Tutaendelea kuwan'gang'ania mpaka kieleweke na nikwambia sisi tuliyeko upande wa kukataa ndiyo tunachangie hata wewe uweze kuona chama chako na serikali yetu anagalau inafanya hicho kidogo. laiti wote tungekuwa mbumbu tuwe upande wako na wenzako ungeshuhudia kiama.

Mkuu umeongea sanaaaaa kama sio msomi bwana! Well kuna sehemu umesema ukiwa msomi unanyamaza! Unataka kusema ndio maana wasomi wamenyamaza kuhusu suala la mgao na ahadi hewa? Au kwakuwa dowans wamepewa US company na bi Hillary akaisifu? Kwa usomi wako hivi hii kampuni ingekuwa bado kwenye umiliki wa yule mvaa makanzu pangetosha kweli?wewe kama msomi acha unafiki linganisha na toa fair answer.

sijakuelewa wala sijaona kama ulielewa mantiki ya maelezo yangu. Tofauti yangu na Mwita 25 ni kuisifu serikali kufaulisha kwa kuongeza uzalishaji umeme. Mimi nilikuwa namwambia rafiki yangu mwita 25 kuwa hatua hizi hata kama ni nzuri zimechelewa kwa hiyo hatuna sababu ya kuisifu serikali yetu na kitendo chochote cha kuisifu kwa hatua za kufaulisha suala la umeme ni kuamsha hasira za watu ambao wanaona haikuwajibika ipasavyo. Nakushukuru kwa kukuona kwenye JF kupitia somo ambalo umekurupuka kulijibu wakati hukuelewa.

My 6years little boy is getting confused and getting tired of hearing these terms,kilo watts,mega watts,as wherever he goes or visits he hear people complaining about it so one day he asked me and suggested why can't our army fight the vice and eliminate it forever so we are at peace

hivi ule umeme tuliambiwa wa kiwira na ule wa upepo singida nao umeishia wapi?
hawa symbion janja ya nyani tu hawa lengo lao ni kuwezesha umeme ufike salama ktk machimbo ya wamerekani
ili waweze kutuibia madini yetu vizuri,

wanajua sisi tumelala hivo wadanganyie umeme afu watajisahau wewe beba madini yao,na thamani ya madini yetu ni mara kumi zaidi ya mitambo yao waliotuwekea, tuamke watanzania, hivi mnaijua kapuni ilokuwa inajenga barabara iendayo singida kuna kilima fulani kikali kinasababaisha sana ajali ila kimewekwa lami sikumbuki jina wkt huo jamaa wanajenga walikaa hapo miaka 2 bila kumaliza kumbe walikuwa wanachimba madini pale
sijafahamu madini yapi na ndege ilikuwa inatua pale kila siku usiku inabeba,walipofukuzwa wakaacha kila kitu hawakujali wakapnda ndege wakaishia kwao, usalama wa taifa wamelala tu nao wamenunuliwa wangekuwa wazelendo wanengechunguza hawa symbion na kutumabia malengo yao.

Ndugu yangu lokissa miradi yoyote ya kumaliza tatizo la umeme tanzania hii haitatekelezwa hata siku moja maana utakuwa umeuaaulaji wa watu. Hivi sasa miradi ya dharula ndo dili. Mambo ya kiwira, stiggler's gorge, singida au mchuchuma sahau. Sisi tunapeta na dharula toka IPTL 1990s mpaka leo. Mambo ya kujenga miradi mikubwa kama ya kidatu kwa serikali yetu ilishapitwa na wakati. Hebu niambie hao simbioni mabilion waliyowekeza watakubari mradi mkubwa kama wa stiggler's gorge utekelezwe wakati hawajachuma bampa profiti?

Angalau hao Symbion tunaweza kuwalaumu US with Hilary Clinton...

Kuliko Dowans ziliingia Matumboni kwa Wapendwa Wabunge wetu na bado hatujapata hela zetu ila tunatakiwa kuwalipa Mamilioni ya tax payers

Kwahiyo acheni angalau utanajua ni kampuni halali na nchi halali tunaweza kulia na kupata kidogo kama tulivyopata angalau kiduchu cha pesa za RADA

Back
Top Bottom