Kuna majipu mengi na kwa taarifa ningeshauri raisi wala asihangaike na hawa jamaa sijui UDC-URC-labda wanaofikia umri wa kustaafu tu ila wengine ni suala la kumtuma CAG kukagua mahesabu ya Ofisi zao na utekelezaji wa Kazi ,Sera nk ripoti ikija mbovu basi hiyo ndiyo jipu la kutumbuliwa.
Yako mengi yanayohitaji raisi kujielekeza kuliko hizo vyeo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.