Tz,ukimwi si tatizo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tz,ukimwi si tatizo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee wa fund, Jul 21, 2012.

 1. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waweza kujikinga na VVU.Lakini ukafa kwa:-
  1.Ajali za barabarani.
  2.Malaria.
  3.Ndumba.
  4.Polonium 210-radioactive material.
  4.Kwa wanawake wakati wa kujifungua.
  5.Au watu wasio julikana wanaweza waka ku ulimboka/zombe.
  6.Mabwepande n.k
   
 2. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una mtindio wa ubongo?ni watanzania wangapi wanakufa kwa ukimwi kila mwaka??linganisha na vyanzo ulivyotaja!
   
 3. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Great thinker?!,wajibu hoja kwa tusi?.unavuruga utamaduni wa JF.think before writing.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Malaria ndo hatari zaidi
   
 5. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  labda kwa vile haiuwi siku moja, na kwamba kifo cha wengi ni harusi.
  Ila chukua tahadhari UKIMWI UPO na unachangia kufanya watu wengi kuwa wagonjwa.
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Of latest ajari za majini ndo zitakuwa zaongoza!
  Maana nasikia uko kwenye izo waterbodies vifo vya watu wachache kama kumi au 5 huwa havirepotiwi!
  NI kwa mujibu wa mvuvi mmoja ambaye kwake vifo vya watu wachache huvishuhudia kila siku!
   
Loading...