TZ Trends & Analysis: Hoja 30 za The Economist Kumhusu President Samia. Kuna za Kweli, za Uongo na Uzushi na Kutaka Kumpangia Watakacho Mabeberu, Jee?

sisi kama wananchi tulishamshindwa kwa ukatili wake,bahati nzuri Mungu akango'a mbuyu
Una uhakika kua Mungu ndio kamtoa?Kwani wanaokufa Mungu kawang'oa?Amekufa kama binadamu wengine tu wanaokufa ni kua kifo kimemkuta tu akiwa ni Rais.
Ila hii nchi ilibidi iendeshwe kibishi mpk watu akili zikae sawa,ujinga na kutaniana kulikua kumezidi sana
 
Pascal

Kama huu ndio unauita uchambuzi napata taabu kidogo. Hao wenye kumsema mama walikua na vigezo vyao wewe unasema hapana huu ni uongo una vigezo vyako.

Sisi wasomaji tumekosa kuona locus stand yako. Unaposema sio kwa Jambo hasa unaposema huuu ni uongo lazima useme ukweli ni upi ukishindwa maana yake wote ni waongo.

Ungechambua hoja tano tu zenye mashiko ukatoa na mifano ungekuwa na Andiko bora kuliko hiyo shopping list
 
Wewe Paskali ni mkorofi sana, wewe unafikiri kuwa kila mtu anawaona ni mabeberu hao wanaotusaidia. Wewe baki na theory zako za kuambiwa na Magufuli. Mambo ya mabeberu yamekwenda, yamekwisha na yameondoka na Magufuli.
Achana na mambo ya Magufuli, huyu ameshakufa siku nyingi, acha tujenge diplomasia na nchi za nje.
You are better than that Paskali.
 
Wanabodi,
Salaam,

Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis.

Kwenye print media wanajitahidi kwenye editorial, lakini kwenye electronics main stream media, ukiondoa TBC ile segment ya Shabani Kisu, na Jicho Letu Ndani ya Habari cha Star TV, chini ya Mkongwe Dotto Bulendu, naweza kusema, Tanzania hatuna any serious news analysis na news analysts.

Hivyo kufuatia uzoefu wangu kwenye media wa miaka 30, sasa baada ya kustaafu, naendelea kuwatumikia Watanzania kwa kujitolea, kila nipatapo muda, nitakuwa nawapatia kitu kinachoitwa trends & analysis za mambo mbalimbali kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Tukio la kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, ni jambo ambalo halikuwahi kutokea, matokeo yake bado kuna trials na errors nyingi zitafanyika na serikali ya Samia hapa mwanzo mwanzo, ambazo nyingine zitakwenda kinyume cha katiba, lakini kwa vile tukio hilo ni kama force majeure kwenye mikataba, tutavumiliana tuu.

Mfano kwa mujibu wa katiba, baada ya Ripoti ya CAG kukabidhiwa kwa rais, within the first 7 days, ilipaswa itue mezani kwa Spika. This is the most important report, katiba haikuweka mazingira yoyote ya ripoti hii kushindwa kuwasilishwa mezani kwa Spika within the prescribed time frame. Ila kiutu uzima tuu, ripoti hii ilibidi iwasilishwe jana saa 3 asubuhi. Very unfortunately jana hiyo Waziri wa Fedha alikuwa hajaapishwa hivyo hawawezi kuipokea. Natumaini itatinga Bungeni kati ya Jumanne na Alhamisi Ijayo.

Jingine ni ule waraka wa TLS kumtaka rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JK na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote ilibidi wale kiapo kimya kwa Rais Samia na sio kiapo cha utii kwa JPM, lakini kumtumikia Samia, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa mama space to start a fresh, na kama bado anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint.

Hayo tuyaache yangu ya leo ni haya..
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyasema kuhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia, Luna hoja za uongo na uzushi ni za kuzipuuza, lakini mabeberu hawa walivyo na akili, kuna hoja ambazo ni za kutaka kumpangia kazi kiana, rais wetu ili afanye au atende kile mabeberu hawa wanacho kitaka.

Nilisisitiza humu, kwa vile JPM hakupenda kupangiwa, na hatukumpangia, vivyo hivyo kwa Samia, tusimpangie, lakini kumshauri na kumweleza jinsi mabeberu hawa wanavyo muona ni silaha muhimu sana ya kujiimarisha dhidi ya hila zozote za mabeberu hawa.

Ili uweze kulifaidi bandiko hili, anza na bandiko hili

Ukiona mabeberu wanaanza anza kuwasifu viongozi wazalendo wa bara la Afrika, ujue, wana lao jambo!.
Karibu kwenye hoja zangu...
Hitimisho.
Swali ni Jee President Samia, atakubali kupangiwa kazi na mabeberu?.
Jibu ni only time will tell.

Nawatakia Ijumaa Kuu Njema

Paskali
Bado upo kwenye ulimwengu primitive.

Katika Ulimwengu wa watu wenye weledi, waliostaarabika na waliokamilika, katika karne hii, hakuna beberu wala jike.

Any country and any individual is your partner in the development journey of every humankind.

Neno hilo la kijinga, 'beberu', tumelizika pamoja na marehemu. Watu wenye Roho wa Mungu, wanatambua kuwa pamoja na utofauti wetu wa rangi, jinsia, maumbile, dini, n.k. sote ni wanadamu. Hakuja beberu wala jike. Ukiona unaamini kuna binadamu beberu na jike, ujue ndani mwako unatembea na roho ya shetani, yaani yule ibilisi aliye baba wa uovu wote.
 
Wanabodi,
Salaam,

Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis.

Kwenye print media wanajitahidi kwenye editorial, lakini kwenye electronics main stream media, ukiondoa TBC ile segment ya Shabani Kisu, na Jicho Letu Ndani ya Habari cha Star TV, chini ya Mkongwe Dotto Bulendu, naweza kusema, Tanzania hatuna any serious news analysis na news analysts.

Hivyo kufuatia uzoefu wangu kwenye media wa miaka 30, sasa baada ya kustaafu, naendelea kuwatumikia Watanzania kwa kujitolea, kila nipatapo muda, nitakuwa nawapatia kitu kinachoitwa trends & analysis za mambo mbalimbali kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Tukio la kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, ni jambo ambalo halikuwahi kutokea, matokeo yake bado kuna trials na errors nyingi zitafanyika na serikali ya Samia hapa mwanzo mwanzo, ambazo nyingine zitakwenda kinyume cha katiba, lakini kwa vile tukio hilo ni kama force majeure kwenye mikataba, tutavumiliana tuu.

Mfano kwa mujibu wa katiba, baada ya Ripoti ya CAG kukabidhiwa kwa rais, within the first 7 days, ilipaswa itue mezani kwa Spika. This is the most important report, katiba haikuweka mazingira yoyote ya ripoti hii kushindwa kuwasilishwa mezani kwa Spika within the prescribed time frame. Ila kiutu uzima tuu, ripoti hii ilibidi iwasilishwe jana saa 3 asubuhi. Very unfortunately jana hiyo Waziri wa Fedha alikuwa hajaapishwa hivyo hawawezi kuipokea. Natumaini itatinga Bungeni kati ya Jumanne na Alhamisi Ijayo.

Jingine ni ule waraka wa TLS kumtaka rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JK na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote ilibidi wale kiapo kimya kwa Rais Samia na sio kiapo cha utii kwa JPM, lakini kumtumikia Samia, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa mama space to start a fresh, na kama bado anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint.

Hayo tuyaache yangu ya leo ni haya..
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyasema kuhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia, Luna hoja za uongo na uzushi ni za kuzipuuza, lakini mabeberu hawa walivyo na akili, kuna hoja ambazo ni za kutaka kumpangia kazi kiana, rais wetu ili afanye au atende kile mabeberu hawa wanacho kitaka.

Nilisisitiza humu, kwa vile JPM hakupenda kupangiwa, na hatukumpangia, vivyo hivyo kwa Samia, tusimpangie, lakini kumshauri na kumweleza jinsi mabeberu hawa wanavyo muona ni silaha muhimu sana ya kujiimarisha dhidi ya hila zozote za mabeberu hawa.

Ili uweze kulifaidi bandiko hili, anza na bandiko hili

Ukiona mabeberu wanaanza anza kuwasifu viongozi wazalendo wa bara la Afrika, ujue, wana lao jambo!.
Karibu kwenye hoja zangu...
Hitimisho.
Swali ni Jee President Samia, atakubali kupangiwa kazi na mabeberu?.
Jibu ni only time will tell.

Nawatakia Ijumaa Kuu Njema

Paskali
Jingine ni ule waraka wa TLS kumtaka rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JK na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote ilibidi wale kiapo kimya kwa Rais Samia na sio kiapo cha utii kwa JPM, lakini kumtumikia Samia, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa mama space to start a fresh, na kama bado anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint.

Paskali TLS na wewe mmeanza na mguu mbaya kwa kushindwa kutofautisha rais mteule (anayetokana na uchaguzi) na kaimu rais (anayetokana na sababu zingine isipikuwa uchaguzi)
SSH alikuwa kaimu rais mpaka alipoapa - anarithi urais anapoapa na toka japo anaendeleza pale mwendazake alipoishia.
maneno muhimu ni rais mteule na kaimu rais ukikosea hapo unapotea
 
Hapo kwenye executive appointees na political appointees ndipo penye patashika.

Kusema kwamba executive appointees hawatakiwi kuapa ila political appointees ndio wanatakiwa kuapa nachanganyikiwa kwasababu nijuavyo hata hao wasiotakiwa kuapa bado wanatoka chama kile kile ambapo walishaapa mwanzo wakiwa political appointees kabla ya kupewa majukumu mengine ya kiserikali.

Hapo nahitaji msaada wako kidogo.
Si hapo wala hapa panahitaji msaada wa P. au nani. Unajua hata kwenye mfumo wa chama kimoja bado kuna executive na political appointees. Wanajulikana kabisa. Wako tofauti sana. Kwenye mfumo wa vyama vingi ndio kabisa tofauti inakuwa kubwa zaidi. Mapenzi kwa chama kimojawapo inakaribia dhambi! Kama yapo ni kwa kificho sana. Na sio uchama katika kazi za umma wa vyama vingi.
Tumechizika. Kwetu ni fahari kuwa daktari wa ccm, polisi ccm, jaji ccm, jw ccm! Utaachaje wakati umeteuliwa kazi ya umma kwa kigezo cha kuwa mwanachama kindakindaki wa chama tawala? Vikao vya chama vinafanyika Ikulu! Kwa jeuri na kiburi tu. Acha aende tu. Tuache uchizi.
 
Una uhakika kua Mungu ndio kamtoa?Kwani wanaokufa Mungu kawang'oa?Amekufa kama binadamu wengine tu wanaokufa ni kua kifo kimemkuta tu akiwa ni Rais.
Ila hii nchi ilibidi iendeshwe kibishi mpk watu akili zikae sawa,ujinga na kutaniana kulikua kumezidi sana
Chizi ww, wasukuma msahau nafasi ya urais,katiba inabadilishwa kunawekwa kipengele ni marufuku kwa msukuma kushika madaraka ya juu. . .maaana MNA roho mbaya nyinyi Watani zangu
 
Wanabodi,
Salaam,

Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis.

Kwenye print media wanajitahidi kwenye editorial, lakini kwenye electronics main stream media, ukiondoa TBC ile segment ya Shabani Kisu, na Jicho Letu Ndani ya Habari cha Star TV, chini ya Mkongwe Dotto Bulendu, naweza kusema, Tanzania hatuna any serious news analysis na news analysts.

Hivyo kufuatia uzoefu wangu kwenye media wa miaka 30, sasa baada ya kustaafu, naendelea kuwatumikia Watanzania kwa kujitolea, kila nipatapo muda, nitakuwa nawapatia kitu kinachoitwa trends & analysis za mambo mbalimbali kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Tukio la kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, ni jambo ambalo halikuwahi kutokea, matokeo yake bado kuna trials na errors nyingi zitafanyika na serikali ya Samia hapa mwanzo mwanzo, ambazo nyingine zitakwenda kinyume cha katiba, lakini kwa vile tukio hilo ni kama force majeure kwenye mikataba, tutavumiliana tuu.

Mfano kwa mujibu wa katiba, baada ya Ripoti ya CAG kukabidhiwa kwa rais, within the first 7 days, ilipaswa itue mezani kwa Spika. This is the most important report, katiba haikuweka mazingira yoyote ya ripoti hii kushindwa kuwasilishwa mezani kwa Spika within the prescribed time frame. Ila kiutu uzima tuu, ripoti hii ilibidi iwasilishwe jana saa 3 asubuhi. Very unfortunately jana hiyo Waziri wa Fedha alikuwa hajaapishwa hivyo hawawezi kuipokea. Natumaini itatinga Bungeni kati ya Jumanne na Alhamisi Ijayo.

Jingine ni ule waraka wa TLS kumtaka rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JK na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote ilibidi wale kiapo kimya kwa Rais Samia na sio kiapo cha utii kwa JPM, lakini kumtumikia Samia, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa mama space to start a fresh, na kama bado anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint.

Hayo tuyaache yangu ya leo ni haya..
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyasema kuhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia, Luna hoja za uongo na uzushi ni za kuzipuuza, lakini mabeberu hawa walivyo na akili, kuna hoja ambazo ni za kutaka kumpangia kazi kiana, rais wetu ili afanye au atende kile mabeberu hawa wanacho kitaka.

Nilisisitiza humu, kwa vile JPM hakupenda kupangiwa, na hatukumpangia, vivyo hivyo kwa Samia, tusimpangie, lakini kumshauri na kumweleza jinsi mabeberu hawa wanavyo muona ni silaha muhimu sana ya kujiimarisha dhidi ya hila zozote za mabeberu hawa.

Ili uweze kulifaidi bandiko hili, anza na bandiko hili

Ukiona mabeberu wanaanza anza kuwasifu viongozi wazalendo wa bara la Afrika, ujue, wana lao jambo!.
Karibu kwenye hoja zangu...
Hitimisho.
Swali ni Jee President Samia, atakubali kupangiwa kazi na mabeberu?.
Jibu ni only time will tell.

Nawatakia Ijumaa Kuu Njema

Paskali
Huu msamiati wa Mabeberu tushaachana nao
Kama ulimsikiliza Mama Samia juzi alisema nimekuteua Waziri wa mambo ya nje ukanyooshe diplomasia Ina maana hakubaliani na sera za mwendazake kuwatukana na hapo hapo unawaomba msaada
 
Ndio maana magufuli alikua anaamua yeye mwenyewe aendeshaje nchi,ukisikiliza sana watu watakuendesha kila mtu anataka umtimizie hitaji lake na makala zao za ajabu ajabu.
Hakuna binadamu mwenye shukrani dunia hii na huwezi pendwa na watu wote
Siku si nyingi wataanza kumropokea na mama samia na kumpangia aongozaje nchi
Hii nchi inabidi iendeshwe kimagufuli magufuli ttu.Ndio itaenda vizuri
Kwa kuendesha alivyotaka wewe ulinufaika nini?
 
Hakuna mtu anataka fulani apendwe (unless otherwise ni kwenye michakato ya kutafuta life partner) kinachoongelewa na inachobidi kitazamwe ni kama anafuata haki, utaratibu na sheria..., hayo mengine ni ziada....

Sasa cha kujiulize Bwana yule alifuata hayo..., na yaliyosemwa alisingiziwa au yalikuwa kweli (Kama mtu unazo akili za kusoma na macho ya kuangalia unasoma na una-draw your own conclusion sio usubiri upewe na conclusion) Sasa bwana yule kuzima midomo ya wasiokubaliana na yeye na kutumia hoja za nguvu na sio nguvu za hoja...., hapo nadhani alipwaya....
Tena sana
 
Hilo gazeti lilipigwa marufuku Tanzania wenzetu mnalipata wapi wakati serikali ilishalipiga pini marufuku Tanzania?

Mna quote toka gazeti lililopigwa marufuku?
Kwani kuna ubaya gani mtu kama ana access ya kulipata hilo gazeti?
Wewe karagabaho na uhuru na mzalendo yako.
 
Pascal

Kama huu ndio unauita uchambuzi napata taabu kidogo. Hao wenye kumsema mama walikua na vigezo vyao wewe unasema hapa huu no uongo una vigezo vyako.

Sisi wasomaji tumekosea kuona locus stand yako. Unaposema sio kwa Jamba hasa unaposema huuu nibuingo lazima useme ukweli ni upi ukishindwa maanavyake wote ni waongo.

Ungechambua hoja tano tu zenye mashiko ukatoa na mifano ungekuwa na Andiko bora kuliko hiyo shopping list
Tangu lini Pascall akawa na uandishi ulio bora?
 
Back
Top Bottom