Tz teknolojia ipi tunatumia ku interogate(kutesa) wahalifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tz teknolojia ipi tunatumia ku interogate(kutesa) wahalifu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Machozi ya Simba, Sep 25, 2012.

 1. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,109
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Interogation ni kumpa mtu mateso ili aseme ukwel. Nlikua naangalia series ya 24 kuna jamaa walikuwa wamemchoma sndano yenye morphaine hata haikuchukua dakika kupata jibu kiasi kwamba hata uwe kauzu utasema tu maana yale sio maumivu inabidi yatafutiwe jina lengine wadau hiv huku tz jeshi la polisi linatumia mbinu gan kumtesa mwalifu
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Usiamini sana movie, kutesa watu ni kinyume na sheria za kimataifa.
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  kafanye uhalifu upelekwe ndio utajua kwanza unapokelewa na makofi kwanza
   
 4. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Saikolojia tu ww mwenyewe utaingia kwenye mtiriko wa makosa uliyotenda km kuiba au kugushi hiyo 24 ya. Jack Bauer si Polisi ni kitengo cha Inteljensia kinachohusu ulinzi wa Rais, Taifa na hata rasilimali za hilo Taifa
  Ndio maana kuna mahali Jack kenda Mexico, kenda Urusi nk
  Hapa TZ fananisha na TISS (UWT) waliotoka huko watakuambia dhahama yake
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ....kubana pu...m.........b......
   
 6. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  wanatumia sindano na mabomu ya machozi kumtesa mtu na kumuua kabisa si umeona kule iringa walivyobomu yule kaka sitaji jinalake wewe shiny c si umeona
   
 7. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  wewe shiny c ukileta mchezo nao yani watakusindanooooooooooooo ................ na kukutupa kule mabwepande
   
 8. G

  Ginner JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  nilikuwa naskiliza siku moja kipindi cha njia panda clouds fm...jamaa mmoja aliehusishwa na usafirishaji wa madawa ya kulevya, anadai walimfungia kwenye chumba cha siafu
   
 9. leh

  leh JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  interrogation na toture ni vitu viwili tofauti. na kama mkuu Kang alivyosema hapo juu, toture ni illegal na hata wakiweza kukutoture utoe majibu, huo ushahidi hutumiki mahakamani na ndo maana unafanyiwa interrogation kama we kibaka wa kitaa, mpaka uwe terrorist au the likes ndo ufanyiwe toture . na hapa afrika, ukiwa mbishi wa serikali.. ohoo.. uliza wenzako pale Kenya walichopitia siku za Moi, Bauer cha mtoto
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  You just mess up with one of CCM's vigogo utajua bila shida
   
Loading...