TZ ni sawa na meli inayotarajia kusafiri jangwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TZ ni sawa na meli inayotarajia kusafiri jangwani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Nov 9, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tumo ndani ya meli, lakini meli hili inatarajia kuendelea na safari yake katikati ya jangwa. Nahodha anatupa matumaini makubwa abiria wake kuwa, tusiwe na wasiwasi. Uhakika wa safari na kufika huko tuendako upo. Iakini ili meli yetu ianze safari ni lazima mvua kubwa inyeshe mafuriko yatokee jangwani. Mabaharia nao wamechanganyikiwa! Badala ya kutuelekeza maboya yalipo, wanatuhimiza tufunge mikanda...haya nahodha wetu. Acha tusibiri kusafiri safari hii ya miujiza huku meli yetu ikiwa na mizigo mingi ya thamani. Dhahabu, almasi, tanzanite, wanyama, milima nk...
   
 2. k

  kaleju Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Au ni Ngamia anae tegemea kusafiria baharin. Make atakunywa maji
   
 3. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Labda tusubiri ushoga ukianza mungu asodome gharika maji yajae then chombo chetu kielee na kuanza safari.
   
Loading...