Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
..hiyo ya kwamba wamesha teta ipo obvious, ndio maana mnachekesha mnaposema eti Membe karopoka, mara oooh JK mfukuze kazi na blah blah kama walevi wakangara!! Its end of the road kwa Mugabe, kila mtu kesha choka.....hata hawa "mafisadi" wa TZ nao pia ni binadamu, au ndio hamwamini kuwa wanaweza kumtosa Mugabe!! Mwingine atasema oooh atasababisha diplomatic crisis...ebo! diplomatic crisis gani? na Zimbabwe ya Mugabe? who cares anymore!!!
Kudos, kwa Membe na JK...finally mnasema kweli sasa!! Ningekuwa mimi, ningeanzisha zengwe la kumng'oa kwa nguvu kama yule Pumbaf mwingine Bacar wa Anjouan...
Watu wakichemsha na kufanya something unbecoming in the diplomatic world tutasema tu.
Wala haituondolei msimamo kwamba Mugabe ni mfamaji.Hapa kuna maswala ya collective responsibility, chain of command, apparent subversion, accountability na answerability kayavunja.
Kwa nchi za wenzetu wanaofuatilia wapi mtu kaweka coma katika sentensi huyu bwana anaweza kuonekana anaanza kumpindua rais.Najua bongo hatujali kwa sababu hata bajeti feki zinapitishwa tu.