TZ kuilipa DOWANS bil.185 hukumu haikufanyika ICC, bt Movenpick Hotel bongo.

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
1,255
77
Zipo tetesi kuwa hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC), haikotolewa ktk makao makuu ya mahakama hiyo yaliyopo The Heague Uholanzi, bt mahakama ilihamia hotel ya Movenpick kwa majaji kadhaa kuja na kunegotiate na vigogo wa serikali huku RA akiwa sehemu ya washiriki.
 
mkuu are you serious..... do you think great thinkers are just as sketchy as this
 
mkuu are you serious..... do you think great thinkers are just as sketchy as this

Mkuu, that's why the heading of this thread is tetesi, coz i dnt want to subdue anybody. But i did this so that somebody can make follow up and vindicate to us.
 
mkuu.... nikiita thread yako upupu utakasirika..... angalia kwenye red highlight
 
Zipo tetesi kuwa hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC), haikotolewa ktk makao makuu ya mahakama hiyo yaliyopo The Heague Uholanzi, bt mahakama ilihamia hotel ya Movenpick kwa majaji kadhaa kuja na kunegotiate na vigogo wa serikali huku RA akiwa sehemu ya washiriki.

ICC ni Court of Arbitration na ipo Ufaransa na sio The Hague hivyo ni vema ukarekebisha haya makosa kwanza ndio uje kivingine!!!
 
Zipo tetesi kuwa hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC), haikotolewa ktk makao makuu ya mahakama hiyo yaliyopo The Heague Uholanzi, bt mahakama ilihamia hotel ya Movenpick kwa majaji kadhaa kuja na kunegotiate na vigogo wa serikali huku RA akiwa sehemu ya washiriki.

Ni kweli ilifanyika movenpick na cyo paris ufaransa majaji wakiwa watatu mmoja mganda

una uhakika na unachotetea au umekurupuka tu bila kusoma contents za hii thread..... angalia red
 
Ni kweli ilifanyika movenpick na cyo paris ufaransa majaji wakiwa watatu mmoja mganda

This kind of typing is not suiting the thinkers, unajilemaza ubongo wako kwa lugha za watoto wa kike wa secondary. Ndio maana huelewi unapofafanuliwa nini ICC na headquarters zake ziko wapi!
 
Endeleza tetesi. Kwa nini ilifanyika Dar. RA alishirikije. Nani kawaleta. Poromosha zaidi
 
Jaji Yule Mganda inasemekana haheshimika sana kwao kwani ana sifa ya ufisadi na anapenda sana rushwa.
 
na wewe unakurupuka tuu... soma thread vizuri ndio uchangie

Bluetooth ni kwamba jamaa alitaka kufikisha ujumbe huu ambao kwa sasa ni tetesi kama alivyosema japo nami pia nimezisikia kwa wazee flani hivi (bar) zinasema kwamba hukumu ile iliyotolewa na kuwapa ushindi dowans haikufanyika makao makuu au kwenye ofisi za ICC (ufaransa)
bali ilifanyika hapa hapa bongo (movenpic) hotel, na moja kati ya majaji walioamua ni mtu wa Uganda ambaye naye ni fisadi mkubwa sana Uganda na haheshimiki tena kwao kwa sababu za ufisadi ambao amekwisha ufanya kwao....hata hivyo bado ni tetesi ndo maana naona jamaa amezileta hapa kama tetesi ni kweli zipo mtaani hizi tetesi....Huyu MUZEEZAID amejichanganya au kwa kutoelewa nini kirefu cha ICC yeye kaifanya ikawa ni ya makosa ya jinai:smile-big: na makao makuu yake akayapa Uholanzi :smile-big: a bit funny but thats what i digest from his/her thread
 
Bluetooth ni kwamba jamaa alitaka kufikisha ujumbe huu ambao kwa sasa ni tetesi kama alivyosema hukumu ile iliyotolewa na kuwapa ushindi dowans haikufanyika makao makuu au kwenye ofisi za ICC (ufaransa)
bali ilifanyika hapa hapa bongo (movenpic) hotel, na moja kati ya majaji walioamua ni mtu wa Uganda ambaye naye ni fisadi mkubwa sana Uganda na haheshimiki tena kwao kwa sababu za ufisadi ambao amekwisha ufanya kwao.
Na mimi ndivyo nilvyoelewa na ndo maanake...sasa kuna watu kazi yao ku pick mis spell na kuyafanya big deal...Si tetesi kuwa ni kweli kikao cha mahakama kilifanyika hotelini hapa bongo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom