Tz inawanawake wa maumbile mazuri chakushanga wale waishio ughaibuni hawatizamiki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tz inawanawake wa maumbile mazuri chakushanga wale waishio ughaibuni hawatizamiki.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sonara, Sep 23, 2009.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nikijiuliza nini kunakuwa na hali kama hii hapa Tanzania? ukipita kila kona utajionea wasichana na kina mama warembo wa maumbile na sura walivyopendeza, ijapokuwa maisha ni magumu lakini hilo haliwafanyi wasionekani uzuri wao ,na hilo ndilo linalowaletea jamaa wengi wanaoishi ulaya na marekani wakifika bongo wanakuwa kama vile walio mwagiwa upupu kwa kukimbilia ngono kutoka kwa wasichana wetu wa kienyeji ,na ukiwauliza kwanini basi usifuate wale amabo mnaishi wote huko ?watakwambia ee bwana wewe nani anataka wale, tunawapigia mbio tukiwa kule tu kwani tunakuwa hatuna jinsi.
   
 2. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  is it because those in tanzania are beautifull OR is it because those in tanzania are available with a minimum of effort.
   
Loading...