Tz First Lady amewasaidia vipi walimu?

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
First lady Salma Kikwete a.k.a Mama JK alikuwa mwalimu wa Mbuyuni shule ya msingi wakati JK alikuwa waziri.
First lady Salma Kikwete anayajua matatizo ya elimu na walimu kwa ujumla.
Je ametoa msaada gani kusaidia eneo hili muhimu.
 
Yeye ni mke wa Rais... si Waziri wa Elimu.

Doubtful if she is in a position to change anything even if she wanted to.
 
Yeye ni mke wa Rais... si Waziri wa Elimu.

Doubtful if she is in a position to change anything even if she wanted to.



Kwanini asitumie tactics za mama Mwinyi kum influence mzee au mama Kibaki?
 
Mkuu wa wilaya aliyewacharaza walimu viboko alifukuzwa kazi mara moja. bila shaka alitetea haki za walimu
 
Kuna wakati alitaka kuwasaidia advance ya mishahara toka hazina, bahati mbaya ilipohamishiwa wilayani, ikashindikana! Labda anajaribu utaratibu mwingine!!
Lakini jitihada zake za kupambana na akina "Fataki" yaweza kuwa zaidi ya waalimu!!
 
I wonder kama anaweza kufanya lolote. Anaweza kufanya very liitle kupitia Jumuiya ya wanawake, au akiwa mjumbe wa NEC, lakini sio kama mke wa rais. Ni public figure lakini hana public office, tusimbebeshe kazi ambayo ni kubwa kuliko uwezo wake. What happen to Waziri Sitta ambaye alijihusisha sana na masuala ya walimu kabla ya kuwa waziri wa elimu? Isn't she in a better position to hep than Mr President's wife?
 
Labda vyeti yake naye vilikuwa feki. Lakini jiulize kuwa kiongozi kama Mama Sitta ambaye aliwahi kuwa Rais wa chama cha walimu amewasaidieje walimu? Tena JK kwa kuona hilo alimpa wizara husika hapo mwanzo na kubadilishwa kwake ni daliloi ya failure kule je alisaidia walimu kipindi hiko? I do doubt
 
first lady huwaga anajitahidi sana ku attend sherehe za walimu wenzie mara kwa mara, either kama wana kitchen part au send off au hata mambo ya kipaimara na ubatizo wa watoto wao..
i guess she has been of great help to them manake mara kwa mara unapoona msafara wa huyu mama unapita jua kuwa alikuwa kwenye functions za namna hii kwa mashoga zake.
 
Mama kikwete amejitahidi na sasa amejenga shule ya wasichana yatima na wenye matatizo mengine. Je, mama mkapa na EOTF yake walifanya nini??
 
Yeye ni mke wa Rais... si Waziri wa Elimu.

Doubtful if she is in a position to change anything even if she wanted to.


Kwani alipoanzisha kale ka Ngo kanachosaidia wanafunzi wakike na hasa wanafunzi walioathirika na ukimwi, yeye alikuwa waziri wa elimu?
 
Hajafanya lolote na WAMA atamuachia nani?tangu amekuwa Firstlady sijawahi kumsikia popote akitetea walimu.
 
Back
Top Bottom