Tyson "Wassira" kuwa Waziri Mkuu?

Mkuu Idimi,

Heshima mbele, Kissoki kutoka Iringa, alikuwa one of the Mwalimu's man, yeye na Mzee Mwangoka, kutoka Mbeya, walikuwa almost kama ndugu kutokana na kufanana tabia, alikuwa ni kiongozi aliyefikia rank ya u-RC huko mkoa wa Iringa, kwa muda mrefu baada ya RC wa zamani huko Marehemu Dr. Kleruu, kuuliwa kwa risasi na mwananchi mmoja anayeitwa Mwamwindi, ambaye alikasirishwa sana na kitendo cha Dr. Kleruu, kwenda mashambani mwao huko kijijini siku ya Jumapili na kuwakaripia kuhusu kutomwagilia mashamba yao, na hasa huyo mkuu Mwamwindi, aliyekwenda ndani ya nyumba yake na kutoka na gobole na kumuuua RC huyo, na baadaye kuuchukua mwili wake na kuupeleka kituo cha polisi na yeye kuwafahamisha polisi kuwa ameleta mwili uko kwenye gari,

Kissoki, alikuwa ni kiongozi safi asiyekuwa mwizi, alkini hakuwa na elimu ya kutosha kama sio kutokuwa nayo kabisa, mwishoni mwa uzee wake alipewa kazi ya kuwa hakimu wa wahujumu uchumi ambako alitengeneza pesa nyingi sana, akaamua kuoa msichana mdogo wa umri wa mjukuu wake, ambaye siku moja alimkamata akiwa kwenye compromise position kimapenzi na kijana mdogo mwenziwe, akaamua kumuuua kwa risasi yule kijana, alikamtwa na kuwekwa rumande kwa muda mrefu sana, akaishia kufa akiwa huko rumande,

Ninawafahamu watoto wake, ambao wamekuwa wakiishi Upanga, kwa muda mrefu ninaweza kukupa contact yao mkuu, isipokuwa I hope nimekusaidia angalau kidogo, ninaaamini kuna wengine hapa wanaoweza kuwa wanajua zaidi.

Ahsante Mkuu!
 
Heshima sana.
Nashukuru sana kwa majibu mkuu, nimefaidika sana na historia hiyo fupi.
 
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa hapa kuhusu huyu Tyson lakini pia kuna miaka kadhaa huko nyuma aliwahi kutuhumiwa kumuua mwanafunzi wa chuo cha Mzumbe wakati huo IDM baada ya mwanafunzi huyo kujipumzisha ufukweni mwa bahari bila kujua kwamba pameandikwa "Marufuku kukaa katika eneo hili" Ikiwa nimekosea naomba mwenye data anikumbushe lakini nakumbuka alikuwa ni huyu Mh.
 
Duh!
Hizi tuhuma kiboko! Kwamba "Waziri Mkuu Mtarajiwa" aliyatenda haya? Lisemwalo lipo.
 
Wassira awe PM? yaani kwanini? huyu yupo kwenye siasa miaka zaidi ya 1000 na hakuna lolote la maana na wala sio mtu mwenye kuelewa mambo sana ambaye anaweza kubadilisha chochote zaidi ya manguvu tuu na kupiga kelele,huyu ataturudisha nyuma tuu uelewa wake wa mambo ni mdogo sana
 
Mkuu Idimi,

Heshima mbele, Kissoki kutoka Iringa, alikuwa one of the Mwalimu's man, yeye na Mzee Mwangoka, kutoka Mbeya, walikuwa almost kama ndugu kutokana na kufanana tabia, alikuwa ni kiongozi aliyefikia rank ya u-RC huko mkoa wa Iringa, kwa muda mrefu baada ya RC wa zamani huko Marehemu Dr. Kleruu, kuuliwa kwa risasi na mwananchi mmoja anayeitwa Mwamwindi, ambaye alikasirishwa sana na kitendo cha Dr. Kleruu, kwenda mashambani mwao huko kijijini siku ya Jumapili na kuwakaripia kuhusu kutomwagilia mashamba yao, na hasa huyo mkuu Mwamwindi, aliyekwenda ndani ya nyumba yake na kutoka na gobole na kumuuua RC huyo, na baadaye kuuchukua mwili wake na kuupeleka kituo cha polisi na yeye kuwafahamisha polisi kuwa ameleta mwili uko kwenye gari,

Kissoki, alikuwa ni kiongozi safi asiyekuwa mwizi, alkini hakuwa na elimu ya kutosha kama sio kutokuwa nayo kabisa, mwishoni mwa uzee wake alipewa kazi ya kuwa hakimu wa wahujumu uchumi ambako alitengeneza pesa nyingi sana, akaamua kuoa msichana mdogo wa umri wa mjukuu wake, ambaye siku moja alimkamata akiwa kwenye compromise position kimapenzi na kijana mdogo mwenziwe, akaamua kumuuua kwa risasi yule kijana, alikamtwa na kuwekwa rumande kwa muda mrefu sana, akaishia kufa akiwa huko rumande,

Ninawafahamu watoto wake, ambao wamekuwa wakiishi Upanga, kwa muda mrefu ninaweza kukupa contact yao mkuu, isipokuwa I hope nimekusaidia angalau kidogo, ninaaamini kuna wengine hapa wanaoweza kuwa wanajua zaidi.

Ahsante Mkuu!
UKO SAHIHI KWA KIWANGO KIKUBWA MAHIHISHO MADOGO:KISOKI ALISTAAFU AKIWA MWENYEKITI WA CCM WA MKOA WA MBEYA.ALIGOMBANA NA MKEWE MDOGO KWELI NA AKAMPIGA RISASI MKEWE NA SIYO KIJANA.ALIKUFA WIKI MBILI BAADA YA TUKIO ATA MAHAKAMANI ALIKUWA BADO HAJAPELEKWA KWA KUWA BAADA YA KUMPIGA MKEWA ALIJARIBU KUJIPIGA RISASI AKASHINNDWA KWA KUWA ALIKUWA NI MGONJWA SANA NA GOBOLE LAKE LA KIZAMANI LIKAMSHINDA IKWA UREFU.KLERUU ALIKUWA AMEKWENDA KWA MWAMUHINDI NA KUMWAMBIA WEWE NGURUWE KWA NINI HUJAHAMIA KTK KIJIJI CHA UJAMAA MPKA SASA,ILIKUWA NI WAKATI WA OPARATION VIJIJI VYA UJAMAA MWAKA 74 NA SIYO KUMWAGILIA MAJI SHAMBA LAKE
 
Nashukuru kwa ufafanuzi huo pia.
Binafsi ndiye niliyeomba taarifa hizi za Kissoki na wenzake, kwa hiyo nawashukuru sana wachangiaji wa mjadala huu kwa ufafanuzi murua. Mada hii imeniongezea uelewa sana. Niliomba taarifa hizi kwa sababu, mzazi wangu (RIP) alifanya kazi kwa karibu sana na Mhe. Kissoki, Mwangoka na wengine kama kiongozi wa TANU na baadaye wakawa waanzilishi wa sisiemu.
 
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa hapa kuhusu huyu Tyson lakini pia kuna miaka kadhaa huko nyuma aliwahi kutuhumiwa kumuua mwanafunzi wa chuo cha Mzumbe wakati huo IDM baada ya mwanafunzi huyo kujipumzisha ufukweni mwa bahari bila kujua kwamba pameandikwa "Marufuku kukaa katika eneo hili" Ikiwa nimekosea naomba mwenye data anikumbushe lakini nakumbuka alikuwa ni huyu Mh.

THIS ALLEGATION SEEMS TO BE BASELESS BY FAR ...TUHUMA ZA MAUAJI KWA WAZIRI WA NCHI KUNGEMFANYA GOV BALALI AWE PASTOR MKUU KKKT..

TYSON IS SERIOUS GUY LAKINI SIYO KIASI HICHO, CHA KU-TAKE THE LAW INTO HIS OWN HANDS...MARAFUKU KUKAA KTK ENEO HILI, BEWARE OF ASSASSIN MINISTER??? LEAVE BEACH OR DIE, DUHH..MAKUBWA!!

BUBU MSEMAOVYO, NAJUA MKE WAKE WASSIRA ALIKUWA ANASOMA IDM-MZUMBE MIAKA KADHAA HUKO NYUMA,NILISOMA NAE...ULIMAANISHA ALIOA AU ALIUWA MWANAFUNZI ALIYESOMA IDM MZUMBE?..KICHUGUU ANAJUA HILI..

OJ SIMPSON KUWA PRIME MINISTER???

HON MIZENGO PINDA NI MCHAPA KAZI SANA, NAKUBALI HILI PIA..
 
Hapana, Tyson hajawahi kuhusishwa na mauaji ya mtu yeyote kwa mkono wake. Ni mwenye ghadhabu za haraka sana na anaweza kutishia kukuua lakini hajawahi na wala sidhani kuwa anaweza kufanya hivyo kwa jinsi anavyofahamu ubaya wake kisiasa.
 
Wassira awe PM? yaani kwanini? huyu yupo kwenye siasa miaka zaidi ya 1000 na hakuna lolote la maana na wala sio mtu mwenye kuelewa mambo sana ambaye anaweza kubadilisha chochote zaidi ya manguvu tuu na kupiga kelele,huyu ataturudisha nyuma tuu uelewa wake wa mambo ni mdogo sana

SIASA MIAKA 1000,DUH? UMELALAMIKA!!!!????????

2004 US ELECTION GEORGE W.BUSH TOLD KERRY, THAT A "LITANY OF COMPLAINTS IS NOT A SOLUTION"...THIS IS BAD, THAT IS BAD!!! GWB WON THE ELECTION DESPITE THE ODDS...WHERE IS THE SOLUTION....NIMESOMA THIS COMMENT, WHERE IS THE BEEF???
 
Mkuu Serengeti,

So far so good, I like jinsi unavyomsimamia tyson, na ninajifunza mengi sana ambayo nilikuwa siyajui ndio maana ninaiheshimu sana JF, uendelee kutuwekea elimu zaidi ya huyu waziri, ambaye ninamfahamu kwa siku nyingi lakini sio ka ndani kama ninavyomuelewa sasa, baada ya kusoma elimu yako mkuu,

ninakuomba uelewe kuwa you are doing a very goood job, kwa kushirikiana na Jasusi.

Ahsante Wakuu!
 
Mkandara,
Your point is well taken. Nadhani nii mada ilianza kwa tetesi tu kuwa Mwungana anapanga kulipangua baraza lake la mawaziri. Kuna mtu akataja uwezekano wa Tyson kuchukua nafasi hiyo--hence the discussion. Lakini si unaijua tabia ya CCM? Hata wewe ukikubali cheo chao ni kwamba umekubali kukaa kimya na kula nao.
 
Back
Top Bottom