babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,287
Aj anapigana kwa tactics ni kama mayweather tu very defensinve anapiga shots zake accurate sana na chache. He is always waiting mpaka round za baadae mpinzani wake aanze kuchoka ndo aatack with full power. Wielder is rather different yeye anapiga hardest shots zake mwanzoni mwa pambano. Anapiga bila plan shots zake nyingi sio accurate points zinakuwa chache wakati anapoteza nguv nying mno. AJ akiweza kumcontain mpaka round za mbele anachokaga kinoma wakati aj round zinavyoenda anazid kuwa balaa. I see AJ winning a KO on late rounds againts wielder
pambano la juzi mda unavozidi kwenda ndivo aj alivokuwa anazidi kuchoka,,mwisho wa siku kapigwa na chibonge aibu sana