Tyre GOODYEAR 185/65r/15 zimekuwa adimu mno! Wapi zinapatikana kwa uhakika?

kayanda01

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,086
913
Nahitaji tyre za GOODYEAR (efficient grip) size 185/65r/15 88H. Genuine product from South Africa.

Manufacture year iwe kuanzia 2020 or recent.

Dar hazipo! Mwanza pia hazipo! Sijajua kwa Arusha au Moshi.

Naombeni msaada wa taarifa, wapi zinapatikana hizo tyre kwa uhakika hapa nchini?
 
Ni sifa zipi hasa zilizokufanya uikubali zaidi Bridgestone kuliko tyre zingine mkuu

Imara sana mkuu ,unaweza kutembelea hadi nyaya zinaonekana lakini inadunda.

Halafu mafundi wanasema "MGUU WA JINI" ni imara sana ingawa unavion vidogo...Kama vipi unaweza kufunga "MGUU WA JINI".


MGUU WA JINI.jpg
 
Wadau Arusha wing... GoodYear 185/65/15 zinapatikana huko?
 
Wadau Kilimanjaro wing... Goodyear 185/65/15 zinapatikana huko?
 
Back
Top Bottom