Kimatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 286
- 271
Daah kwaio akatafsiri umemuita kumatuKuna siku nilikuwa na mention jamaa anaitwa Kimatu si nikakosea ikajiandika "Kumatu".
hatari sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kwaio akatafsiri umemuita kumatuKuna siku nilikuwa na mention jamaa anaitwa Kimatu si nikakosea ikajiandika "Kumatu".
hatari sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha " mawasiliano yaliendelea bila mjadala wa lile kosa" imekaa kizazi sanaNilikuwa nachati na binti yangu kumsaidia kujibu hoja fulani. Sentensi iliyokusudiwa ilikuwa "ukiandika ndiyo yanahitajika maelezo ya kina" hapo kwenye neno kina likajiandikak**a.
Aisee, nilihangaika kusimamisha sms haikuwezekana. Nikaanza kuichukia simu.
Kila mmoja akawa kimya. Niliwaza mtoto atanielewaje? Nitarudije home? Halafu tulikuwa tunakaa wawili tu. Baadaye aliendelea na kuchati, nikamjibu niko busy asubiri nimalize kazi nitampigia. Mawasiliano yaliendelea bila mjadala wa lile kosa. Nikikumbuka huwa najisikia aibu kwa mwanangu.
&@-##+8##;#;;
Na bado upo hai ๐ณnilishamtumia mdada MWEMBAMBA SMS nikamwambia "mambo mrembo".
keyboard ika auto-correct ikasomeka "mambo mfupa"๐๐๐
acha tu mkuu niliisaka papuchi for one year ndo nikasamehewaNa bado upo hai ๐ณ
๐๐๐๐๐Mi nilimtuma mtu akanichukulie mzigo kwenye basi, basi kondakta akawa anauliza mbona huyo jamaa hafiki na simu inaitaa tu hapokei nikamjibu 'atakuwa kabakwa kwenye gari' badala ya 'kabanwa'...
Kuna jamaa humu JF anatumia ID name inayoitwa Mbwa Mwitj.
Sasa huyu nadhani siku hiyo wakati anajisajili JF ndo zilipotokea hzo typing errors... I think alitaka kuandika "Mbwa Mwitu"
Boss alipost picha na familia yake nkandika nice pics. Ika auto correct nice pigs. Nilitamani aridhi ipasuke
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaniiMimi bwana, ile nashare video group flani la WhatsApp nikakosea nikashare sehemu mbili yaani wakati wa kuchek bahati mbaya nikaclick na sehemu nisio kusudia.
Kuja kucheki nimetuma na group jingine. Fasta Fasta nika delete. Dah si nikadelete for me badala ya for everyone.
Nilitamani nileft. Ile aibu.
Chainilishamtumia mdada MWEMBAMBA SMS nikamwambia "mambo mrembo".
keyboard ika auto-correct ikasomeka "mambo mfupa"
Nilikuwa nachati na binti yangu kumsaidia kujibu hoja fulani. Sentensi iliyokusudiwa ilikuwa "ukiandika ndiyo yanahitajika maelezo ya kina" hapo kwenye neno kina likajiandikak**a.