Sic March
JF-Expert Member
- Mar 2, 2019
- 690
- 895
dahMnaomiliki Smartphones njooni huku ili na sie wengine tupate kujifunza kutoka kwenu
Hahahha hi nmeipenda sana corona ikiisha ntaifanyia stands up comedyKukosea siyo kwenye smartphone pekeyake bana...
Siunajua simu ndogo pale kwenye button ya namba 6 kuna herufi "mno"
Basi kujidai unajua kuchati fastafasta unataka uandike "kuna wawili tu" unajikuta umeandika "**** wawili tu" halafu ni majibu ulikuwa unarudisha kwa mshua baada ya kukuuliza "huko ulipo kuna wangapi mpaka sasa?"
Ndomana me sitakagi kujizoesha kuwasiliana kwa kutumia sms kwa watu wa heshima... hata wakinitumiaga sms basi mimi ni lazima nipige simu tu kwakweli tukumbane kwenye sababu nyingine tu za makosa ya kawaida lakini siyo humo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilimtuma mtu akanichukulie mzigo kwenye basi, basi kondakta akawa anauliza mbona huyo jamaa hafiki na simu inaitaa tu hapokei nikamjibu 'atakuwa kabakwa kwenye gari' badala ya 'kabanwa'...
Kuna jamaa humu JF anatumia ID name inayoitwa Mbwa Mwitj.
Sasa huyu nadhani siku hiyo wakati anajisajili JF ndo zilipotokea hzo typing errors... I think alitaka kuandika "Mbwa Mwitu"
Nambie Dogi badala ya nambie DogoSalamuni wakuu. Ase kuna kitu flani huwa kinatokea sana kwenye hizi smartphones zetu na sometimes kinapelekea mtu kujikuta anajicheka, sometimes kupelekea kuomba msamaha kwa maneno mengi ili ueleweke na uliyemtumia ujumbe na sometimes inapelekea pia wewe kushushwa heshima, n.k. Hii kitu ni TYPING ERRORS BHANA.
Nimepita pita kwenye uzi mmoja, nimekutana na hii:-
"Wao wanasema saa nne asubuhi ndo renewal imepita wakati kwa ufahamu wangu muda renewal inaitwa ndo muda ule uke uliojiunga mara ya mwisho."
Hii inasentensi inayoeleweka ila haikukusudiwa kuwa hivyo. Badala ya ULE ULE imekuja ULE UKE
Hebu tujuze ni TYPING ERROR gani umewah kuiandika na ikaleta sentensi inayoeleweka lakini halikua kusudio lako kuandika hivyo na ikawa msala.
KUONGEZEA
Au kwenye zile isue za kutuma tuma picha za ajabu kwa washkaji, ukajikuta umetuma picha kwa mtu mnayeheshimiana au kwenye group flani serious.
2020
Nilikuwa nachati na binti yangu kumsaidia kujibu hoja fulani. Sentensi iliyokusudiwa ilikuwa "ukiandika ndiyo yanahitajika maelezo ya kina" hapo kwenye neno kina likajiandikak**a.
Aisee, nilihangaika kusimamisha sms haikuwezekana. Nikaanza kuichukia simu.
Kila mmoja akawa kimya. Niliwaza mtoto atanielewaje? Nitarudije home? Halafu tulikuwa tunakaa wawili tu. Baadaye aliendelea na kuchati, nikamjibu niko busy asubiri nimalize kazi nitampigia. Mawasiliano yaliendelea bila mjadala wa lile kosa. Nikikumbuka huwa najisikia aibu kwa mwanangu.
DoohKukosea siyo kwenye smartphone pekeyake bana...
Siunajua simu ndogo pale kwenye button ya namba 6 kuna herufi "mno"
Basi kujidai unajua kuchati fastafasta unataka uandike "kuna wawili tu" unajikuta umeandika "**** wawili tu" halafu ni majibu ulikuwa unarudisha kwa mshua baada ya kukuuliza "huko ulipo kuna wangapi mpaka sasa?"
Ndomana me sitakagi kujizoesha kuwasiliana kwa kutumia sms kwa watu wa heshima... hata wakinitumiaga sms basi mimi ni lazima nipige simu tu kwakweli tukumbane kwenye sababu nyingine tu za makosa ya kawaida lakini siyo humo
Sent using Jamii Forums mobile app
nilishamtumia mdada MWEMBAMBA SMS nikamwambia "mambo mrembo".
keyboard ika auto-correct ikasomeka "mambo mfupa"
hiyo delete for me imenikuta majuzi tu. Bahati yangu hakikuwa kitu kibaya.
Ninachoshukuru mimi huwa nina sheria zangu sikai na picha au video za ajabu kwenye simu yangu.
Hapana mkuu, ikitokea nimetumiwa hasa zile kama za kina gwajima, ndio huwa nazifuta mapema tu nikisha angalia.Ila una-stream
Dooh