Tyler Perry mwehu sana

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Either him or whoever did that ni mwehu kweli. Nimecheki The Oval ya jamaa hadi episodes zilipoishia. Kiukweli huwezi tazama ile tamthilia na familia japo ni nzuri sana. Sasa kinachonishangaza kwenye lugha za matusi wana mute. Halafu kwenye ngono na ushoga wanaachia. Dah! Nashangaa sana.

Ni jambo gani linafanana fanana na hilo la huyu lejendari?
 
Maneno kama
Whore
Bitch
Moron
Yametawala kinywa cha yule mama
 
siku hzi kawaida kupromo uchoko na usagaji huko amerika..!yaani bora uwe racist kule kuliko kupinga uchoko
 
Either him or whoever did that ni mwehu kweli. Nimecheki The Oval ya jamaa hadi episodes zilipoishia. Kiukweli huwezi tazama ile tamthilia na familia japo ni nzuri sana. Sasa kinachonishangaza kwenye lugha za matusi wana mute. Halafu kwenye ngono na ushoga wanaachia. Dah! Nashangaa sana.

Ni jambo gani linafanana fanana na hilo la huyu lejendari?
Kwanini wewe utazame hii na familia?
Tafuta tamthilia inayokidhi viwango vya kutazama na familia yako. Mwache Tyler Perry apige kazi yake..binafsi naipenda hii tamthilia, ushoga ni mambo yapo hata kwenye jamii yetu leo na hata mashuleni tuyakemee kabla watoto hawajifunza kwenye mitandao
 
jamaa kazi zake zina mashoga sana yule, ukute ni memba maana sio kwa kiwango kile.
 
Back
Top Bottom