Twitter yatimiza miaka 10

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,373
8,073
Tangu ulipoanzishwa mtandao huo wa kijamii umepata watumiaji milioni 320 wanaoshirikishana habari na picha kila siku. Katika top 10 ya watumiaji wenye followers wengi kuna wasanii wa muziki 6. Hapo chini ni watumiaji wenye followers wengi:-
1.Katy Perry followers 84,913,015
2.Justin Bieber followers 77,593,478
3.Taylor Swift followers 73,347,935
4.Barack Obama followers 71,509,700
5.Youtube followers 60,741,100
ImageUploadedByJamiiForums1458730813.707326.jpg
 
twitter inapoteza umaarufu sana siku hizi, instagram inashika kasi sana
twitter ni kama sio social media vile.....ok ila ina umri mmoja sawa na JF
 
twitter inapoteza umaarufu sana siku hizi, instagram inashika kasi sana
twitter ni kama sio social media vile.....ok ila ina umri mmoja sawa na JF
kwa US twitter, kenya, south afrika,nk twitter iko juu sana. afu unakuta lulu anafollowers wengi instagram kuliko uhuru wa s.africa make kwa south africa instagram si
lolote
 
twitter inapoteza umaarufu sana siku hizi, instagram inashika kasi sana
twitter ni kama sio social media vile.....ok ila ina umri mmoja sawa na JF

Twitter ina heshima yake.

Ninafikiri kinachowashinda wengi kwenye nchi zetu hizi ni ile maneno mengi kuyaweka kwenye maneno machache na ukaeleweka.

Nakumbuka kipindi cha uchaguzi mkuu Nyumbu walitengeneza page fake ya BBC Swahili wakakosea wakaweka maneno mengi kama kwenye FaceBook.
 
Back
Top Bottom