Twitter waifungia akaunti ya Ayotollah Ali Khamenei

Iran huwa mchokozi and akipigwa anasema anaonewa.. utawala wa ayatollah unatakiwa uondoshwe wote ili iran iwe huru. Raia wakilia wanazibwa midomo.. utawala wa ayatollah umepata maraisi wafuasi wengi Africa akiwemo jiwe kupoteza watu na kuwaonea
nendeni mkauondoshe mnangojea kipi

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
 
Iran akitaka ajaribu kwa viongozi wa kijeshi kwanza, Trump aachane naye
 
By the way nimeshangaa kusikia anatumia Twitter mtandao wa kikafir! Bila aibu kabisa anaita Twitter, ana-login na kuitumia; mnafiki ni hatari kuliko mchawi!
Kafir wkt ni damu ya wauza watumwa ileile!!
 
Back
Top Bottom