Twin turbo zinafungukaje

Kwa experiance yangu Twin-turbo huingiza hewa katika engine.. ili kutoa performance nzuri katika engine husika... kwa wale wazee wa Drag race.. ukubwa wa engine unasababisha turbo kupeleka hewa kwa wingi baada ya kuzunguka kwa crankshaft kwa muda mrefu.. mfano kwa ARISTO 2JZGTE... turbo inatoa assistance ya kuingiza hewa automatically pale engine inapotaka hewa hiyo through manifold attached pipes...
Nini kazi ya BOV (Blow Off Valves)
 
Umeona like yangu huko?
Kwa experiance yangu Twin-turbo huingiza hewa katika engine.. ili kutoa performance nzuri katika engine husika... kwa wale wazee wa Drag race.. ukubwa wa engine unasababisha turbo kupeleka hewa kwa wingi baada ya kuzunguka kwa crankshaft kwa muda mrefu.. mfano kwa ARISTO 2JZGTE... turbo inatoa assistance ya kuingiza hewa automatically pale engine inapotaka hewa hiyo through manifold attached pipes..

so turud katk mada.. TWIN turbo zipo kwa both cars.. (GASOLINE or Diesel cars) kuna pia BI-Turbo YALEYALE tu ya twin turbo but kuna kautofaut kidg sana........ sasa kipimo cha Perfomance yaturbo husika inapimwa kwa PSI (Pounds per Square inch) Ambayo inasukumwa katika kila turnel ya cylinder husika...

inashauriwa kutumia Turbo moja... kwani ni more quicker than twin of them,.... in additional

KUFUNGUKA kwa turbo.. kupo... na kunahusisha rpm pia... kwa sisi wazee wa mbio kuna KITU KINAITWA (TURBO TIMER)

nisiwachoshe sana...... kwa kupata vionjo vya turbo.... mnaweza kutumia ipasavyo BOV(blow off valves) or wastegate.... sounds.........(Psyuuuuf...........)
 
Nini kazi ya BOV (Blow Off Valves)
sorry.. sio Blow of valve bali ni Blow OFF valve... katik tubrocharges.. na kwa Supercharger huitwa compressor bypass valve (CBV) ... hii haina kazi sana zaidi ya kupunguza pressure (LOAD) ya air ktk compressor au ktk cylinder.. (hewa ambayo haina uhitaji ktk muda husika hivyo inarudi na kupokelewa na hii mechanism ...mara nyingi inakandamizwa pindi umekanyaga THROTTLE... (mafuta) na ukiachia kukanyaga THROTTLE basi... blow off sounds (Chafya) zinasikika ktk BOV iliyofungwa ktk engine top.. au pemben yake.. ikiwa na pipes iliyoelekezwa ktk turbo husika...

kuna regards nyingi ikiwemo ANTILAGS.. and popsounds...
mchana mwema.
shukrani
 
Mkuu kuna point umeikosa kidogo hapo. Msemo wa turbo kufunguka unamaanisha pale turbo inapoanza kuleta hewa zaidi kwenye engine. Unapowasha engine kama RPM ni kidogo, turbo japo inazunguka ila inaongeza nguvu kidogo saana (insignificant) kwenye engine. Ila kwenye RPM kubwa, hewa inayotoka kwenye exhaust inakuwa nyingi pia so inaweza kuzungusha turbines za turbo kwa kasi zaidi na hivyo kuongeza hewa safi na nguvu zaidi kwenye engine. Kueleza kirahisi hii concept, gari huwa linatoa moshi zaidi pindi "ukipiga resi" kuliko likiwa silence. So unapopiga resi inamaana rpm inapanda na hewa chafu inatoka kwa wingi hivyo turbines za turbo zinazunguka kwa nguvu zaidi pia na kusababisha hewa nyingi kuingia kwenye engine. Hapo ndio tunasema turbo imefunguka.

Hayo maelezo ni sahihi kabisa kuhusu kufunguka kwa turbo. Mimi nisingeweza kueleza hivyo kwa kiswahili :):)
 
Ningependa kuchangia uzoefu wangu…

Twin turbo ina tumika kwa sababu ya Kupunguza turbo lag. Turbo lag ni kule kuchelewa kufunguka kwa turbo wakati gari ina panda kasi. Ukitaka gari iwe na nguvu unaweka turbo. Ukiweka turbo kubwa basi na power inaongezeka zaidi. Tatizo ni kwamba turbo kubwa ina chelewa kufunguka. Inachelewa kwasababu inahitaji kujenga pressure kubwa ya exhaust ili izungushwe kwa haraka.

Ingini ya gari ujenga pressure zaidi katika RPM ya juu. Na gari hua inachukua mda kufika RPM ya juu. Kuchelewa huku ndiko kuna sababisha kuchelewa kwa turbo kufunguka ili ianze kuiongezea power ingini. Ingini ikifika RPM ya kuifungua turbo, basi power inakuja kwa ghafla..booom. Power inaingia kwa nguvu na kwa ghafla, unaona kama vile "you suddenly being pulled on the chair", yaani kama vile tumbo linakatika hivi :)

Sasa tatizo ni kwamba, wateja wengi wa sports car hua hawapendi hiyo feeling ya “kukatika tumbo”. Kwahiyo basi, watengeneza magari wanaweka turbo ya pili ambayo ni ndogo na inafunguka mapema katika RPM ya chini. Kwasababu turbo ndogo haina power kama kubwa, basi mfunguko wake sio wa ghafla sana. Hii turbo ndogo ikifunguka mapema itaendelea kufunguka mpaka pale RPM ya ingini imepanda kiasi cha kutosha kufungua turbo ya pili ambayo ni kubwa. Turbo kubwa inafunguka na kumpokea mwenzake na kuendelea kujenga power zaidi. Matokeo yake ni kwamba dereva ana sikia "mfunguko nyororo" (smooth spooling).

Kwa ufupi basi, turbo mbili zinawekwa ili kuunda a "turbo system" ambayo inafanya mfunguko wa turbo usiwe wa ghafla. Tena basi, ni lazima zichaguliwe turbo ambazo zina endana ili kufanya mfunguko wa kushirikiana ulio nyororo yaani smooth. Moja kuwa moja ndogo.

Katika hobby hii, mimi nimeshabadili turbo kama nne katika gari yangu. Kwa wale mnao zijua turbo, mimi nilianza na T25, nika weka 16G, B16G, mpaka 20G. Nina spare ya FP20GRED ambayo nitaiweka pale nitakapoichoka 20G niliyonayo hivi sasa. Natumaini nimeweka mchango mzuri.

Asanteni na msisahau kutambika au angalao kuwashukuru mababu na mabibi zetu.
 
mbona kana yakustuka ndo tamu
 
sorry.. sio Blow of valve bali ni Blow OFF valve... katik tubrocharges.. na kwa Supercharger huitwa compressor bypass valve (CBV) ... hii haina kazi sana zaidi ya kupunguza pressure (LOAD) ya air ktk compressor au ktk cylinder.. (hewa ambayo haina uhitaji ktk muda husika hivyo inarudi na kupokelewa na hii mechanism ...mara nyingi inakandamizwa pindi umekanyaga THROTTLE... (mafuta) na ukiachia kukanyaga THROTTLE basi... blow off sounds (Chafya) zinasikika ktk BOV iliyofungwa ktk engine top.. au pemben yake.. ikiwa na pipes iliyoelekezwa ktk turbo husika...

kuna regards nyingi ikiwemo ANTILAGS.. and popsounds...
mchana mwema.
shukrani

Maelezo mazuri. Nita ongezea hivi...
BOV ni muhimu sana katika kuimprove maisha ya turbo.
Ukiachia accelerator throttle plate inafunga kwahiyo ile hewa inayosukumwa kwa nguvu sana na turbo unakua haina pa kwenda. Matokeo yake unaipa "back pressure" turbo ambayo bado inazunguka kwa kasi, in the opposite direction. Hiyo ina sababisha mshtuko kwa turbo na kuiua polepole.

Kama charldzosias alivyo eleza, BOV inaipatia hewa iliyo kwama kati ya throttle plate na turbo njia mbadala ya kutokea ili isiipe turbo "back pressure".

Mimi binafsi ilishawahi kunitokea mwaka 2001, turbo ikafa!
 
mbona kana yakustuka ndo tamu
Hata mimi naupenda huo mshtuko. Ila kumbuka, in general, wateja wengi wa sports car ni watu wenye vijipesa, watu wa rika kubwa ambao washafanya kazi na umri umekwenda sasa wana vipesa vya kuinjoi maisha, "middle age crisis"...wasure flani hivi :)

Ila ukitaka uhondo na mikelele, basi unafanya modification...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom