Ebwanandio
Member
- Aug 23, 2019
- 48
- 63
- Thread starter
- #21
Nini kazi ya BOV (Blow Off Valves)Kwa experiance yangu Twin-turbo huingiza hewa katika engine.. ili kutoa performance nzuri katika engine husika... kwa wale wazee wa Drag race.. ukubwa wa engine unasababisha turbo kupeleka hewa kwa wingi baada ya kuzunguka kwa crankshaft kwa muda mrefu.. mfano kwa ARISTO 2JZGTE... turbo inatoa assistance ya kuingiza hewa automatically pale engine inapotaka hewa hiyo through manifold attached pipes...