Twiga wa Tanzania aliingizia Jiji la Karachi zaidi ya USD 1.8Billion

Marekani waliona mbali, huwezi kuwa raisi wa Marekani kama wewe na familia yako ni masikini. Wanajua bunadamu kwa asili ni mbinafsi na akiwa masikini ndio mbaya zaidi ataanza kujinufaisha kwa wizi yeye na familia yake pamoja na jamaa zake. Mifano halisi tunaiona wazi katika nchi yetu, kijana mdogo tuliye graduate naye 2007 ana utajiri wa kutisha.
 
wamenunua wanyama kihalali kwa kufuata taratibu zinazokubalika kimataifa (KAMA\IF) na kitaifa, sisi watanzania hatana mazoea ya kitembelea mbuga zetu......wao wamewarahisishia watu wao kwa nini wasifanikiwe kwa kitu ambacho sisi hatukifanyi??? wao wamefanikiwa Tunalia wivu
 
Tupatie chanzo cha habari ili hoja iwe na mashiko.
Deus Mallya ni 'verified user' hivyo naweza kuamini
Marekani waliona mbali, huwezi kuwa raisi wa Marekani kama wewe na familia yako ni masikini. Wanajua bunadamu kwa asili ni mbinafsi na akiwa masikini ndio mbaya zaidi ataanza kujinufaisha kwa wizi yeye na familia yake pamoja na jamaa zake. Mifano halisi tunaiona wazi katika nchi yetu, kijana mdogo tuliye graduate naye 2007 ana utajiri wa kutisha.
Japo sio vizuri kulinganisha mbingu na nchi (USA Vs TZ) lakini utajiri wanaoutaka huko sio kama wa hapa wa tender fake na capacity charges bali wenye maelezo ya jinsi ulivyopatikana na ni kodi kiasi gani mhusika amelipa ili kuonyesha mapenzi na nchi yake.
Lakini kikubwa katika hili ni kuwa mafanikio yako binafsi yanaonyesha kuwa yanaweza kuwa reflected katika uwepo wako ofisini. Hapa mtu anakusomea profile ya katibu wa chama mhamasishaji, wa kata na mkuu wa itifaki then anakabidhiwa ofisi ya kufanya maamuzi kwa kigezo cha 'mwenzetu'. Ukimuweka mtu masikini wa akili ofisini ni lazima nchi iwe masikini pia. Acha tuionje joto ya jiwe labda tusubiri karne ijayo.
 
Isije kuwa ni hela za OPIUM ya Afghanistan ndiyo wanazisafishia hapo.

Hawa jamaa na UNGA ni kiboko ingawa wanajifanya watu wa DEAN sana.

Hizo hela ni nyingi sana kwa nchi kama hiyo na umasikini wa kutupwa.
 
soma vizuri utaiona 'sosi'

Jamaa anataka nimpe Namba ya simu ya aliyenipa taarifa hii? Ila ajue mtu mwenyewe anaongea kingereza kwa shida sana. Lugha yake kubwa ni Arabic.. Pia kwa kumsaidia ni kwamba si kula habari ni lazima uanike Source. Mimi si mjinga kuamka asubuhi na kuandika kitu kisicho na ushahidi hapa.. Stay tuned bunge lijalo.
 
kidumu Chama Cha Mauaji

kidumu Chama Cha Mafisadi

kidumu Chama Cha kuuza Maliasili zetu

kidumu Chama Cha kuuza Ardhi yetu

Kidumu chama cha kuuza Mbuga na wanyama wetu

kidumu Chama Cha Majambazi

zidumu fikra za mwenyekiti
 
kidumu Chama Cha Mauaji

kidumu Chama Cha Mafisadi

kidumu Chama Cha kuuza Maliasili zetu

kidumu Chama Cha kuuza Ardhi yetu

Kidumu chama cha kuuza Mbuga na wanyama wetu

kidumu Chama Cha Majambazi

zidumu fikra za mwenyekiti

Kweli nimekubali.."Badili Tabia"
 
That income is not only from the giraffe they impored from tz; but the income is from the whole zoo for 1 year. No matter where the other animals are originaly from. Ova
 
Nadhani mtakumbuka juzi Kikwete akihutubia taifa alisema anawashangaa wanaotaka mabaki ya mjusi wa kale yarudishwe. Kwa maoni yake hata yakirudishwa 'hawana manufaa nayo moja kwa moja'. Kwa mantiki hiyo, hata hao twiga waliojazana mbugani na waliochukuliwa, 'hatuna manufaa nao moja kwa moja'! Kwake, wawe nje au ndani, it doesnt matter!
 
kidumu Chama Cha Mauaji

kidumu Chama Cha Mafisadi

kidumu Chama Cha kuuza Maliasili zetu

kidumu Chama Cha kuuza Ardhi yetu

Kidumu chama cha kuuza Mbuga na wanyama wetu

kidumu Chama Cha Majambazi

zidumu fikra za mwenyekiti

Mimi penda hii!
 
Unaonaje na sisi au (serikali yetu) ikaanzishe vitega uchumi vya aina hiyo kule mashariki ya mbali?

Tumeshindwa ku Export viberiti au Mboga za majani tutaweza kufanya uwekezaji 'mkubwa' hivyo?[/QUOTE]Hili wazo nimelipenda....
 
hii aibu kweli hadi waarabu wanatuibia tena maskini kama sisi.!!
 
Halafu Kagasheki anasema eti idadi ya watalii ni ndogo sana,vivutio vya wanyama sio issue tena mazoo yametapakaa dunia nzima haswa nchi za waarabu kwa sababu ya sera za CCm uza kila kitu na nchi ibaki kipara
najaribu kufikiria miaka mingine mitatu ijayo si hata mlima Kilimanjaro wataung'oa wakauuze
halafu hakuna ubunifu mwingine vivutio vile vile miaka nenda rudi beach,vilima,mabonde,mito ,maziwa utamaduni vyote vimeachwa tumebaki wanyama wanyama samaki vipi bwana
 
Back
Top Bottom