Twiga star na banyanabanyana- msumbiji

mkibunga

Senior Member
Nov 17, 2010
196
25
Mpaka sasa dk 45 za kipindi cha zimekwisha mabao bado ni 0-0 wasichana sijui akina dada wetu wanajitahidi wanaweza kututoa kimasomaso
 
matokeo ni 2-2 mechi ilifanyika ktk uwanja wa Machava. Wabongo ili tusonge mbele inabidi tuwafunge wa Zim dollar na wasouth wafungwe na Ghana kazi bado ni ngumu. Sijui nani atakayeipatia Tz medal yoyote ile! Viva All African Games.
 
Back
Top Bottom