TWIGA kapanda NDEGE..... na kaenea...si maigizo... kwii..kwiii... hadi uarabuni.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TWIGA kapanda NDEGE..... na kaenea...si maigizo... kwii..kwiii... hadi uarabuni....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jay One, Jun 26, 2012.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Tz kila kitu kinawezekana....Si Mazingaombwe....
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa nini harudishwi huyo Twiga Tukuwaita DHAIFU Mishipa inawatoka
   
 3. M

  MTZmakini Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mtoto wa Twiga ni Twiga hatuwezi kumpa jina jingine.
   
 4. h

  haf2006 Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usalama wa Taifa dhaifu, Jeshi letu dhaifu, polisi wetu dhaifu, raisi wetu dhaifu, mawaziri wetu dhaifu, wabunge wa CCM pamoja na wingi wao ni dhaifu na goigoi kwa sababu kwa wingi wao wangefanya uamuzi mgumu ni lazima twiga na wengine wengi waliokwisha toroshwa wangekwisharudishwa mara moja. haf2006
   
 5. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Ndio hapo sasa DHAIFU kila mahala ila kwa kuiba si DHAIFU ..... si Mtoto wa Twiga ni Twiga kaingia Ndege karuka..... imagine na huyu mnyama ndio symbol ya taifa angalia Noti zetu zote ni Twiga.... Twiga na urefu wote kaingia ndege... maswali mengi sina jibu....
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  tukitaka arudishwe utaambiwa atoshi kwenye ndege labda melikebu. si unajua mzigo wa mwizi aubebeki? Vichekesho serikari dhaif .
   
 7. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,207
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  ahsante!
   
Loading...