Twiga Cement yamwaga mifuko 600 ya Cement shule ya msingi Ally Hapi

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
TWIGA CEMENT YAMWAGA MIFUKO 600 YA CEMENT SHULE YA MSINGI ALLY HAPI

Kiwanda cha saruji cha Twiga kimetoa mifuko 600 ya saruji kwa ajili ujenzi wa madarasa nane, jengo la utawala na uzio katika Shule ya Msingi Ally Hapi iliyopo Bunju A.


 
Ok kwahio unataka tufanyeje?? Walipomaliza kuimwaga wakafanyeje??
 
Tayari jina lake limeshapewa shule? Siasa za mwendokasi na matukio yake!!
 
Ally Hapi P/School itakuwa shule ya mfano hapa bongo, dogo analitendea haki jina lake vizur kabisa. Kuna baadhi ya shule, mitaa au barabara ambazo zimepewa majina ya watu maarufu lakini ukiangalia hayo maeneo hayana hadhi kabisa na jina la muhusika.
 
Back
Top Bottom