Twendeni kilindi

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
507
272
Watanzania wenzangu wapenda mabadiliko nawaomba tuelekeze nguvu katika wilaya ya kilindi, kwani pamoja na serikali hii kuwanyima maendeleo lakini bado hawana elimu ya uraia kujua ni namna gani wanaweza kuiadhibu.

%kubwa wamelala usingizi mzito ,chondechonde twendeni kilindi
 
Hii wilaya iko mkoa gani hapa Tanzania?ni waziri gani anayetoka huko?Mbunge wa Kilindi ni nani?honestly nimewahi kuisikia hii wilaya lakini sikuwahi kuwa na interest ya kuifuatilia kwa undani.
 
watanzania wenzangu wapenda mabadiliko nawaomba tuelekeze nguvu katika wilaya ya kilindi, kwani pamoja na serikali hii kuwanyima maendeleo lakini bado hawana elimu ya uraia kujua ni namna gani wanaweza kuiadhibu. %kubwa wamelala usingizi mzito ,chondechonde twendeni kilindi
mikoa ya dodoma,tanga,songea,pwani na lindi zinatutia hasara ktk ukombozi
 
hapa ni lazima yapatikane maelezo ya ziada, UKAWA mkoa wa tanga, UKAWA makao makuu, tupeni maelezo haiwezekani wilaya nzima ipite bila kupingwa,
 
Iko Mkoa wa Tanga, inapakana na wilaya na Handeni na Korogwe, Mbuge wake ni Mama Beatrice Shelukindo, ni wilaya mpya. nawasilisha
 
Back
Top Bottom