Twendeni kanisani kesho wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Twendeni kanisani kesho wana JF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 6, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
1. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#1
Aug 6, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,148
Likes Received: 5,576
Trophy Points: 280
Najua uko busy lakini sitoacha kukuhimiza wewe mwenye nafasi kwenda kanisani
siku ya kesho kumshukuru mungu kwa ukarimu wake wote aliokupa mpaka leo
ukiwa unahema na auko icu..je mimi na wewe ni nani tumempa nini mungu
je ni kwasababu tuko safi la hasha zaburi anasema kila mwenye pumzi na amsifu mungu
nalifurahi waliponiambia na ywende nyumban kwa bwana
mungu akubariki mpendwa nenda kaandae wiki yako ya kuanzia jumatatu

nenda mwambie mungu akusaidie kwenda kanisani akuitaji kamati kikao bali utayari wako
hebr 10:38 inasema mwenye haki wangu ataishi kwa imani akisisita hana imani lakin sisi tu miongoni mwa okolewao roho zao

mpao abakise

2. f

fazili JF-Expert Member

#2
Aug 7, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 1,192
Likes Received: 403
Trophy Points: 180
Ni vema na haki tutakwenda mkuu thanks

3. Maria Roza

Maria Roza JF-Expert Member

#3
Aug 7, 2011
Joined: Apr 1, 2009
Messages: 6,773
Likes Received: 103
Trophy Points: 160
Asante kwa taarafa diddy

4. Mzito Kabwela

Mzito Kabwela JF-Expert Member

#4
Aug 7, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 17,519
Likes Received: 1,688
Trophy Points: 280
Hata kama umefunga, karibu kanisani ule neno la uzima! Neno la Bwana Yesu, Mungu aliye hai.

5. Anheuser

Anheuser JF-Expert Member

#5
Aug 7, 2011
Joined: Mar 23, 2011
Messages: 1,962
Likes Received: 46
Trophy Points: 145
Ambao hatuko intensive care unit unasema tumshukuru Mungu. Na ukadai zaburi inasema kila mwenye pumzi na amsifu bwana. Sasa huyu wa ICU nae asifu Mungu kwa lipi?

6. Pukudu

Pukudu JF-Expert Member

#6
Aug 7, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 2,970
Likes Received: 735
Trophy Points: 280
katika amri kumi iko inayosema ikumbuke siku ya Bwana uitakase na tuliikumbuka na kuitakasa jana tulipoenda kusali, sasa wewe unatuambia twende leo je hiyo ni sabato ya kweli????? Au ni mapokeo?

7. Kipis

Kipis JF-Expert Member

#7
Aug 7, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 493
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

[1wakorintho 8:4] twajua ya kuwa sanamu si kitu katika ulimwengu, na ya kuwa hakuna MUNGU ila mmoja tu."1timotheo 2:5): kwa sababu MUNGU ni mmoja, na mpatanishi kati ya MUNGU na wanadamu ni mmoja, mwnadamu kristo yesu, umungu wa yesu upo wapi hapo mkuu?

8. m

mzee wa mawe Senior Member

#8
Aug 7, 2011
Joined: Aug 2, 2011
Messages: 151
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
yohana 17:3 wakujue wewe mungu wa pekee wa kweli na yesu kristo uliyemtuma. mkuu yesu ni mtumishi wa mungu acha kumwita mungu ni kufuru kubwa.

9. Dio

Dio JF-Expert Member

#9
Aug 7, 2011
Joined: Feb 8, 2011
Messages: 1,278
Likes Received: 4
Trophy Points: 135

soma yohana 1:1-14
ndio utajua umungu wa yesu upo wapi

10. Kipis

Kipis JF-Expert Member

#10
Aug 7, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 493
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

Maandiko matakatifu hayastahili kuwa na migongano. Iwapo kutakuwa na aya mbilli zinazohitilafiana,basi moja ndio ya kweli;zote haziwezi kuwa kweli la sivyo zote si sahihi.kwa hiyo yesu sasa ni mungu kwa mujibu wa yohana 1:1. Hii basi ni kinyume na aya kadhaa za biblia: soma katika marko12:29 kile alichosema yesu mwenyewe alisema:"yesu akajibu, ya kwanza ndiyo hii,sikia israeli,Bwana mungu wetu ni Bwana mmoja. Hapa hajawaambia Bwana mungu wenu ni mmoja nae ndio mimi.qur-an tukufu yesu ameitwa neno litokalo kwa mwenyezi mungu yaani neno la mwenyezi mungu ikiwa ni sawa na 1 wakorintho 3:23: "nanyi ni wakristo na kristo ni wa Mungu. Yohana 1:1 nayo ingeandikwa hivi" naye neno alikuwa wa mungu. Makosa yalifanyika wakati wa kutafsiri kutoka katika Aramaic kuweka kwa kiyunani,kwa makusudi au vinginevyo. Katika lugha ya kiyunani neno Theos ni Mungu, lakini Theou inamaanisha ya mungu(Tazama kamusi ya kiyunani,biblia ya kiyunani,au Muhammad in the Bible cha prof. Abdul-Ahad Dawud, aliyekuwa Askof wa Uramiah,ukurasa(16). Tofauti ya herufi moja. Tu lakini matokeo ni makubwa sana..

11. Kipis

Kipis JF-Expert Member

#11
Aug 7, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 493
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

Sabato haiwezi kuwa j,mosi mkuu. Kwa kiswahili tu cha kawaida,unaposema mosi inamaana kuwa moja(1) hivyo unaposema juma-mosi unamaanisha juma la kwanza, au siku ya kwanza ya juma. Kwa hivyo ukitka kuipata siku gani ya sabato anzia kuhesabu hapo.

12. u

ureni JF-Expert Member

#12
Aug 7, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,272
Likes Received: 230
Trophy Points: 160
Umenikumbusha mbali sana nakumbuka nilipokuwa O level kwenye kipindi cha dini tuliimba sana huo wimbo hapo kwenye nyekundu.

13. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#13
Aug 7, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,148
Likes Received: 5,576
Trophy Points: 280
efeso 6:11,12

vaeni silaha za mungu mkapate kuzipinga hila za shetan
12.kwa maana kushindana kwetu si juu ya damu na nyama bali juu ya falme namamlaka,juu ya wakuu wagiza hili, juu ya majeshi wa pepo wabaya katika anga hili..so sidhan kuna mtu ataingia kwenye vita ya damu na nyama kama mtakavyo mungu na awabariki awape ufahamu najua si ninyi bali ni yule tunaepiganae ambae kwa hili anajua na kumheshimu yesu
soma luk4:13

14. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#14
Aug 7, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,148
Likes Received: 5,576
Trophy Points: 280
ufahamu ni jambo jema sana katika maisha

bora mungu akunyime mali kazi lakini asikunyime ufahamu,,ukimjua mungu wala kwenye hii ligi hutomwona mtu zaidi ya yeye kukuongoza huko ulikopotea na kukurudisha kundini..neno la mungu linasema wana jjhudi katika mungu lakin si katika maarifa..ndugu mpendwa jitahdi umwombe mungu akufungue na kukupa ufahamu katikamaisha yako ufaha mu unakufunua kwamba si lazima uende shule ujue wake wanne ni ujinga na aupumbavu ni ufahamu ..ukiwa una ufahamu utajua akuna majini mema na majini mabaya jini ni demons ama shetan unaposema una shetan wazuri na shetan wabaya lazima unaitaji kufunguliwa na kufunguliwa si lazima upelekwe sakatriki palemuhimbili no ni kulijua neno la mungu linasema nini??easy

ukiwa una ufahamu utajua kupata pesa duniani sio lazima uende bagamoyo ama tanga fedha na maliyote ni mali ya bwana haya ni maandiko ukijua utajiri wa ibrahim na kujua sisi ni wana wa ibrahimi na urithi wake utajua kumbe kule tanga wanaatuibia na kutufanya msukule

ukiwa una ufahamu utajua kufaulu shule ni kusoma kwa juhudi na si kwenda kushinda uchi kwa waganga naa hili linawafanya wengi wanaonekana wehu huku mwisho wa siku watoto wao wakiteseka kama kawaida hukuwatoto wengine wakichanja mbuga,,nenol liko wazi mshike elimu asiende zake ..utaona kule sehemu wanapoenda watoto wetu badala ya kwenda tuiton ama kujisomea ni laana tunaitaji kufunuliwa siri za mbinguni

ukiwa na ufahamu wa yesu kristo utaona kumbe hata wanaoshika madaraka wamesoma na wewe unaitaji kusoma zaidi kama mh rais wetu mmoja alietoa ushauri tukasome tusipige kelele tutaishia kufagia kwenye maofisi..ukiwa na ufahamu lazima mwanao asome badala ya kumwozesha ukitarajia mahari itakusaiidia maishan mwako bila kujua umuhimu wa elimu na miaka ya mwanao unaemwozesha anaitajikwenda shule

ufunguliwe ufahamu wako in jesus name
sema amen!!

15. k

kituro Senior Member

#15
Aug 7, 2011
Joined: Dec 25, 2010
Messages: 176
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Zaburi 82:6 Biblia inasema Mimi nimesema ndinyi miungu na wana wa aliye juu nyote pia. ( hapa biblia inamaanisha kuwa hata sisi ni miungu yaani tuna uungu. sasa na kwenda kwa Yesu Yohana 10:30 - 38 Mimi na baba tu umoja,
yohana 10:33 Wayahudi wakamjibu (Yesu) kwaajili ya kazi njema hatukupigi mawe bali kwa kukufuru na kujifanya wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u mungu.

lakini ukisoma mistari yote niliyoonesha hapo juu utapata kitu kizuri.

Yohana 17:4 - 6 (Yesu alisema ) mimi nimekutukuza duniani , hali nimeimaliza kazi uliyonipa niifanye. na sasa ,Baba unitukuze mimi pamoja nawe , kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.

kwahiyo yesu alikuwa na utukufu hata kabla ya ulimwengu kuwako (je ni mwanadamu gani aliyekuwako kabla ya ulimwengu kuwako)

yohana 17:21 Mungu baba na Yesu kila mmoja yupo ndani ya mwenzie.

16. k

kituro Senior Member

#16
Aug 7, 2011
Joined: Dec 25, 2010
Messages: 176
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Ndugu zangu mimi mwenzenu nimeamua kumtumikia Yesu, nawashauri hata nyie tumfuate mwokozi wetu Yesu kristo kwakuwa hakuna jina lingine tulilopewa wanadamu la kuokolewa nalo. Yesu anawapenda sana karibu Tumtumikie Yesu kwa pamoja.

17. Kipis

Kipis JF-Expert Member

#17
Aug 8, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 493
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

Ni kweli kabisa ufahamu katika maisha ni jambo jema kabisa,ila inategemea na aina ya ufahamu uliokuwanao. Unaweza ukawa na ufahamu wa maisha. Na njia zote za kufanikiwa katika maisha, lakini ukakosa ufahamu wa kumjua mungu wa kweli aliekupa huo ufahamu wa kujua ufanye nini ili upate kufanikiwa katika maisha yako. Mitume wote tangu Adamu hadi Muhammad,walitumwa na ujumbe mmoja:nao ni utii mkamilifu wa wanadamu kwa mwenyezi mungu. Utii huu kwa kiarabu unaitwa Islam vilevile humaanisha,Amani, yaani amani kati ya muumba naviumbe vyake. Kinyume na majina kama Uyahudi,na Ukristo. Jina hili Islam limetolewa na mwenyezi mungu,muumba mwenyewe, kama ilivyotajwa katika sura ya 5:3: leo nimekukamilishieni dini yenu,na kukutimizieni neema yangu,na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Majina: Uyahudi na ukristo hayamo ndani ya biblia,wala ndani ya kamusi ya biblia. Hakuna mtume wa kiyahudi aliyetaja neno uyahudi. Yesu hakudai kuanzisha Ukristo duniani wala yeye hakuwa Mkristo. Neno mkristo limetajwa mara tatu pekee katika Agano jipya na kwanza lilitajwa na makafiri kisha na wayahudi katika Antokia mnamo mwaka wa 43 C.E.muda mrefu baada ya Yesu kuondoka duniani. Soma katika matendo ya mitume 11:26 Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antokia. Baadaye na mfalme Agripa wa pili kwa Paulo katika Matendo ya Mitume 26:28: Agripa akamwambia Paulo, kwa maneno machache wadhani kunifanya mimi kuwa Mkristo. Kwa hivyo jina Mkristo lilitajwa hapo kwanza na maadui, sio na marafiki. Na mwisho likatajwa na Petro katika Waraka wake akiwatuliza waumini kama ilivyo katika Petro wa kwnza 4:16: Lakini ikiwa kwa sababu ni mkristo asione haya.hivyo basi kupitia elimu yako uliyokuwanayo na mafanikio uliyonao mkuu, nakushauri usiipe uvivu wa kutafakari mambo kama haya. Muislamu wa kwanza duniani sio muhammad,bali Ibrahimu aliyejisalimisha kabisa kwa Mwenyezi mungu. Lakini Uislamu kama njia ya maisha ulifunuliwa kwa manabii waliomtangulia kabla ya Ibrahimu kama Adamu na Nuhu. Ndipo Uislamu ukawa njia sahihi ya maisha kwa walimwengu wote. Katika Matayo 15:9: Yesu aliwatabiria nyinyi, Nao waniabudu bure wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu.
Itikadi zote za ukristo zimebuniwa na wanadamu. Utatu, Uana wa Mungu wa Yesu,Uungu wa Yesu kristo, Dhambi Asili na upatanisho.
Kutokana na misemo ya Yesu mwenyewe, iliyoandikwa ndani ya agano jipya,ni wazi ya kwamba hakuwahi kudai uungu wala kujifananisha na Mungu:
na ya kuwa sifanyi neno kw nafsi yangu. (Yohana 8:28): Baba ni mkuu kuliko mimi,(Yohana 14:28): Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja.(Marko 12:29): Mungu wangu Mungu wangu,mbona umeniacha?
(Marko 5:34): Ee Baba mikononi mwako naiweka roho yangu.
(Luka 23:46): walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuae hata malaika walio mbinguni, wala mwana,ila Baba.
Itakuwa hasara kwako mkuu kama shule yako hukuitumia vizuri katika hayo niliyo kudadavulia. Usiangalie eti kwa vile mtu fulani maarufu labda,au ana masters, nk eti kuwa mkristo ni sahihi basi na mimi niwe kama yeye hapana. Ushugulishe ubongo wako katika kufahamu mambo. Fikiri kwanza kbla ya kutenda/kuamua vinginevyo ufahamu wako utakuwa "nothing".

Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...