tweet zangu kwa @jmkikwete, acc ya twitter ya Mh Rais

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626

Attachments

  • password.JPG
    password.JPG
    56.2 KB · Views: 138
Amesikia..hata yeye na watu wengi huko huko CCM&Serikalini hawakujua kama bajaji ni kilaza namna ile.
 
Mkuu amekujibuje? Majibu yake yanaweza kutupa uelewa wa response ya rais kuhusu matusi ya Lusinde.
 
Hawezi kujibu. Wote ni wale wale tu ! Kuna post inasema 'kwa hili 2015 ni mbali sana' ina majibu.
 
Amesikia..hata yeye na watu wengi huko huko CCM&Serikalini hawakujua kama bajaji ni kilaza namna ile.

na hilo ndio lengo langu, kwamba kama alikua hajui lusinde ni mtu wa aina gani basi angalau amjue sasa
 
Mkuu amekujibuje? Majibu yake yanaweza kutupa uelewa wa response ya rais kuhusu matusi ya Lusinde.

nikibahatika kupata reply yake nitabandika hapa, lakini si tweet zote huwa ana-respond, ila zote huwa anazipata
 
Back
Top Bottom