Twaweza: Tofauti za kisiasa, kiuchumi zitakomesha makundi ya itikadi kali

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
twaweza.jpg

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Twaweza limesema kwamba, kuondoa tofauti za kisiasa na kiuchumi miongoni mwa jamii kutakomesha wimbi la kuibuka kwa makundi ya itikadi kali, FikraPevu inaandika.

Hayo yamo katika mapendekezo ya shirika hilo yaliyotolewa kwenye ripoti ya utafiti wao isemayo...

Kwa habari zaidi, soma hapa => Twaweza: Tofauti za kisiasa, kiuchumi zitakomesha makundi ya itikadi kali | Fikra Pevu
 
Hawa jamaa toka wafanye utafiti hewa kipindi cha uchaguzi. Mambo yao hayana mashiko tena!
 
Nao ni jipu tu. Hawana lolote tena. Kwanza tafiti zao hazina mashiko tena toka wapike zile za uchaguzi. Tatizo lao, huwa ni sample size selection. Wanachukua tu watu wa dar, halafu situation wanaielezea mpaka sirari na tunduma
 
View attachment 335545
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Twaweza limesema kwamba, kuondoa tofauti za kisiasa na kiuchumi miongoni mwa jamii kutakomesha wimbi la kuibuka kwa makundi ya itikadi kali, FikraPevu inaandika.

Hayo yamo katika mapendekezo ya shirika hilo yaliyotolewa kwenye ripoti ya utafiti wao isemayo...

Kwa habari zaidi, soma hapa => Twaweza: Tofauti za kisiasa, kiuchumi zitakomesha makundi ya itikadi kali | Fikra Pevu
kuna ukweli mkubwa sana kwenye hili japo wengi hawawezi kuliona.
 
Literally I hate them with passion, walipoteza credibility tangu walipotumiwa kupika tafiti za uchaguzi mkuu.....to hell
 
Back
Top Bottom