Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,258
- 217,243
- Thread starter
- #21
kufundisha mawe si kazi rahisiHapo umechanganya madesa. Kukubalika kwa Rais Samia ni tofauti na suala la hoja ya katiba mpya. Haya ni mambo mawili tofauti tusiyachanganye. Rais Samia anakubalika kwa vigezo tofauti na hitaji la katiba mpya bila kujali Rais gani yupo madarakani. Inavyoelekea hitaji hili linaweza.kuzimwa kwa nguvu za kidola siyo kwa hoja. Muda ni mwamuzi mzuri, tusubiri.