Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,083
- 92,501
Okey mkuukwa sasa ni 98%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okey mkuukwa sasa ni 98%
kwa mtu mfuata upepo wala hajui hilo mkuu yeye akisikia tu chadma wanataka katiba mpya na yeye yumo hizo ni njaa za wanasiasa kutaka madaraka lakini mwana nchi wa kawaida hakuna utakachofaidika na hiyo katiba mpya zipo ktiba mpya baadhi ya nchio na haziwaletei maendeleo wananchi watawala wanafanya wanavyotaka tulilie maendeleo siyo vitu visivyo na uharaka kama katiba maana na yenyewe inataka hela piaTuache mob psychology,katiba iliyopo we imekuathiri kitu gani ukiachana na hao wenye kutaka madaraka ili hiyo katiba mpya iwarahisishie.
Yoda acha basi iharibike kwa nini, anataka Katiba mpya.Tufanye kura yako imeharibika
Wewe hiyo Katiba mpya inakuogopesha kabla hata hatujaiandika!Hii Katiba chakavu inakiwezesha chama chakavu kupora chaguzi,unafaidika na wizi huo?Tuache mob psychology,katiba iliyopo we imekuathiri kitu gani ukiachana na hao wenye kutaka madaraka ili hiyo katiba mpya iwarahisishie.
kumbe kelele za katiba mpya ni kwaajili ya uchaguzi tu siyo maslahi mapana ya raia wa tanzania?Wewe hiyo Katiba mpya inakuogopesha kabla hata hatujaiandika!Hii Katiba chakavu inakiwezesha chama chakavu kupora chaguzi,unafaidika na wizi huo?
Umepagawa!
Uchaguzi gani unaongelea?Wanaokataa katiba mpya ndio wanaosingizia kuwa wanaodai katiba mpya wanataka madaraka,nami nilichohoji ni kuwa wanaokataa katiba mpya wanaitumia hii katiba mbovu kupora chaguzi maana haina vipengele vya kuwawajibisha akina Jecha na Mahera pamoja na uharamia walioufanya.kumbe kelele za katiba mpya ni kwaajili ya uchaguzi tu siyo maslahi mapana ya raia wa tanzania?