Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,614 67,077 Dec 24, 2016 #2 Ungemtaja na jina ingekuwa safi sana. Hivi jamani kwa nini hakuna maua ya njano au blue!?
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,332 Dec 24, 2016 Thread starter #3 My sincere LOVE to any member in this forum ... katika msimu huu kushereheka kila mmoja ajihisi anapendwa .... ONYESHA UPENDO
My sincere LOVE to any member in this forum ... katika msimu huu kushereheka kila mmoja ajihisi anapendwa .... ONYESHA UPENDO
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,332 Dec 24, 2016 Thread starter #6 Iceman 3D said: Ungemtaja na jina ingekuwa safi sana. Hivi jamani kwa nini hakuna maua ya njano au blue!? Click to expand... Nisingeweza mtaja jina mana ujumbe wangu wa UPENDO wamuendea yeyote alo member wa hii forum ....
Iceman 3D said: Ungemtaja na jina ingekuwa safi sana. Hivi jamani kwa nini hakuna maua ya njano au blue!? Click to expand... Nisingeweza mtaja jina mana ujumbe wangu wa UPENDO wamuendea yeyote alo member wa hii forum ....
Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,614 67,077 Dec 24, 2016 #7 busy bees said: Nisingeweza mtaja jina mana ujumbe wangu wa UPENDO wamuendea yeyote alo member wa hii forum .... Click to expand... Anhaaa Asee gud gud, ila ungemtarget mmoja aaa ungekuwa usha beba ukumbi hapa hapa
busy bees said: Nisingeweza mtaja jina mana ujumbe wangu wa UPENDO wamuendea yeyote alo member wa hii forum .... Click to expand... Anhaaa Asee gud gud, ila ungemtarget mmoja aaa ungekuwa usha beba ukumbi hapa hapa
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,332 Dec 24, 2016 Thread starter #9 DEOD 360 said: Asante kama hutojali tupia na no Click to expand... Namba ya nini na kwa nini itupiwe?
DEOD 360 said: Asante kama hutojali tupia na no Click to expand... Namba ya nini na kwa nini itupiwe?
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,633 697,782 Dec 24, 2016 #10 busy bees said: Click to expand... Tungesambaza shekeli kwanza
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,332 Dec 24, 2016 Thread starter #11 mshana jr said: Tungesambaza shekeli kwanza Click to expand... zimeadimika kama ruby mkuu ...