Twanga yazidi kupepeta


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,988
Likes
5,382
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,988 5,382 280
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">

</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
African Stars Band, wana wa 'Twanga na Kupepeta' usiku wa kuamkia leo ndani ya kiwanja chake cha nyumbani Mango Garden, iliendelea kusigina kisigino na mashabiki wake waliofurika ukumbini humo. Kama ilivyoada, mtandao wako nao ulivinjari kiwanjani humo na kuibuka na sura zifuatazo:

<!--ThumbBegin-->
<!--ThumbEnd-->
...safu ya wanenguaji wa African Stars, ikiongozwa Lilian Internet ikifanya mashabulizi yake ukumbini humo alfajiri ya Jumapili hii.

<!--ThumbBegin-->
<!--ThumbEnd-->
...Saleh kupaza na Lilian wakiwekana 'mtu kati'

<!--ThumbBegin-->
<!--ThumbEnd-->
... hapo je!!! Umeona ehh!

<!--ThumbBegin-->
<!--ThumbEnd-->
..umenicheki tatoo zangu..Queen Suzy!!

<!--ThumbBegin-->
<!--ThumbEnd-->
..wadau wa Twanga: Said Mdoe wa Screen Masters (kushoto), Furgason mwimbaji na rapa mahiri wa Twanga, Juma Mbizo na Ankal Michuzi

<!--ThumbBegin-->
<!--ThumbEnd-->
..Presenta machachari wa Star TV Sauda Mwilima (shoto) na Presenta wa Radio Times FM, Dida 'dam dam' na Twanga.

<!--ThumbBegin-->
<!--ThumbEnd-->
....Unamkumbuka huyu?.... Ni Doreen msanii wa Bongo Flava aliyepotea kwa miaka minne kwenye game...anasema anakuja tena hivi karibuni!!

PICHA: Abdallah Mrisho/GPL​

</td></tr></tbody></table>
 
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Messages
3,849
Likes
29
Points
145
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2010
3,849 29 145
kisima cha burudani:D
 
M

Mundu

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2008
Messages
2,720
Likes
34
Points
145
M

Mundu

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2008
2,720 34 145
...twanga pepeta ninavyoipenda nitakunywa sumu juu yake

Ni burudani tupu
 

Forum statistics

Threads 1,251,536
Members 481,767
Posts 29,775,640