Twanga wafunika billicanas

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606"> TWANGA WAFUNIKA BILLICANAS

</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12"> </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Safu ya wanenguaji wa bendi ya African Stars (Twanga Pepeta) wakishambulia jukwaa wakati bendi hiyo ilipofanya onesho ndani ya ukumbi wa Cub Billicanas (Muc Mo) uliopo katikati ya jiji la Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Mwimbaji nyota wa ‘Twanga’, Saulo John (Ferguson) akipagawisha mashabiki.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Mnenguaji nyota wa Twanga, Lilian Tungaraza (Liliani Internet) akiwa amemdandia shabiki na kumkatia mauno kisawasawa wakati wa onesho hilo.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Lilian Internet akionesha kipaji chake baina ya jukwaa na mwili wake.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Mnenguaji mwenye mvuto mahsusi wa wana-Twanga, Aisha Mbegu Madinda akiwajibika jukwaani.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Chiriku wa kike wa Twanga, Luiza Nyoni Mbutu akitoa burudani jukwaani.

http://www.globalpublisherstz.com/


</td></tr></tbody></table>
 
Nasikia sasa hivi wanafanya vizuri kwenye maonesho yao, tofauti na miezi kadhaa nyumba.
 
hahaha Luiza Mbutu kapendeza kweli na kivazi chake
nimefurahi tena kumuona Bi Aisha Madinda Jukwaani
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom