twahara wa Manii

njia ya saada

JF-Expert Member
Sep 3, 2018
317
250
Manii: ni maji meupe, mazito, yanayotoka kwa matamanio ya nguvu kwa kasi, na yanafuatiwa na ulegevu, na yana harufu inayofanana na yai lililoharibika.

Nayo ni twahara, kwani lau yangekuwa najisi Mtume (s.a.w) angeamrisha yaoshwe.

Na inatosheleza, katika kuondoa manii, kuyaosha yakiwa majimaji, na kuyakangura yakiwa makavu, kwa hadithi ya Aishah t kuwa alisema: (Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w) akiosha manii kisha akitoka kwenda kuswali kwa nguo hiyo na mimi nikiona athari yamuosho katika ile nguo) [ Imepokewa na Bukhari na Muslim.].

Na katika riwaya ya Muslim: (Nilikuwa nikiyakangura manii kwenye nguo ya Mtume (s.a.w) kisha akiswalia) [ Imepokewa na Muslim.].
https://www.al-feqh.com/sw/hukumu-za-najisi
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,872
2,000

That is a biological phenomenon, it has nothing to do with dini..... Ni kwa vile mtume hakuna na notion ya science hivyo alitumia dini kuelezea that body fluid..................
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom