Twaha Kiduku Vs Abdo Khalee | Ubabe Ubabe 2 | Nangwanda Sijaona, Mtwara | 24.09.2022

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu leo kuna pambano la Ngumi Kati ya Kiduku na Muarabu anatoka Misri
.
Mimi ninachokiona ni Kwamba Hili hawa Vijana wetu Wawe Bora.
1. Wacheza Haya mapambano nje ya Tanzania pia ili tuone Ubora wanaouonesha wakiwa nje ya Tz.
.
2. Watafutiwe Mabondia wenye Ubora Zaidi.
.
Mabondia wengi wanaoletwa Huku Ni wale ambao hawana Ubora na ndio maana tunaona kama Mabondia wetu wana Ubora Zaidi.
.
Hivyo basi Ubora Huu wanaouonesha Huku Tanzania wakauoneshe pia nje ya Tanzania.
.
I stand to be Corrected
.
Hance Mtanashati screpa Nk Nk Nk
 
Usiku wa leo, Bondia Mtanzania, Twaha Kiduku atashuka ulingoni kupambana na bondia Abdo Khaled kutoka Misri.

Mpambano huo umepewa jina la Ubabe Ubabe 2 na litafanyika katika dimba la Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara. Maandalizi yote yamekilika ikiwa ni pamoja na mabondia kupima uzito hiyo jana.

Pia kutakuwa na mapambano ya utangulizu mbalimbali ambapo mabondia mbalimbali watapanda ulingoni akiwemo star wa sasa, Karim Mandonga.

Tukutane hapa kuanzia Saa 1:00 Usiku kwa Live Updates.

Pambano litakuwa mubashar Azam Sports 1HD
 
Mandonga mtu kazi leo ataua mtu...

Screenshot_20220924-072206.jpg
 
Wakuu leo kuna pambano la Ngumi Kati ya Kiduku na Muarabu anatoka Misri
.
Mimi ninachokiona ni Kwamba Hili hawa Vijana wetu Wawe Bora.
1. Wacheza Haya mapambano nje ya Tanzania pia ili tuone Ubora wanaouonesha wakiwa nje ya Tz.
.
2. Watafutiwe Mabondia wenye Ubora Zaidi.
.
Mabondia wengi wanaoletwa Huku Ni wale ambao hawana Ubora na ndio maana tunaona kama Mabondia wetu wana Ubora Zaidi.
.
Hivyo basi Ubora Huu wanaouonesha Huku Tanzania wakauoneshe pia nje ya Tanzania.
.
I stand to be Corrected
.
Hance Mtanashati screpa Nk Nk Nk
Mapambano ya mbele mbona wanaenda mara nyingi tu, mara ya mwisho juzi tu hapa Lorren Japhet alikuwa mbele na ameshinda
 
Wakuu leo kuna pambano la Ngumi Kati ya Kiduku na Muarabu anatoka Misri
.
Mimi ninachokiona ni Kwamba Hili hawa Vijana wetu Wawe Bora.
1. Wacheza Haya mapambano nje ya Tanzania pia ili tuone Ubora wanaouonesha wakiwa nje ya Tz.
.
2. Watafutiwe Mabondia wenye Ubora Zaidi.
.
Mabondia wengi wanaoletwa Huku Ni wale ambao hawana Ubora na ndio maana tunaona kama Mabondia wetu wana Ubora Zaidi.
.
Hivyo basi Ubora Huu wanaouonesha Huku Tanzania wakauoneshe pia nje ya Tanzania.
.
I stand to be Corrected
.
Hance Mtanashati screpa Nk Nk Nk
Uelekeo wa boxer kibongo una elekea vizuri na unakua kwa kasi, kazi imebaki kwa maboxer wafanye sana mazoezi na wawe na nidham nje na ndani ya ring waachane na usela nnya,naona MO nae kishaingiza miguu kwenye boxing ni dalili nzuri sana kwa boxing.

Ngoja sasa ni msubirie Man Mandonga.
 
Pambano lililopita la Osama na Emily lilikuwa bora sana.
Emily katisha sana.
 
Back
Top Bottom