Twaha Kiduku mpiganaji mtulivu, mchokozi wa ngumi zitakazo kuweka kwenye kumi na nane yake

Adui mkubwa wa boxer anapokua kwenye ring ni muda.
Unawezaje kumsoma mpinzani wako haraka na kufanya maamuzi haraka.

Kwa kuzingatia mchezo uliopita Kati ya bondia hawa ni lazima kila mmoja afanye marekebisho makubwa.

Dulla ni mrefu kidogo kuliko Twaha naamini ataendelea kucheza kwa kurudi nyuma (back pedal) na kwakua hana footwork nzuri lazima apunguze mashambulizi ya Twaha kwa kupiga na kurudi nyuma na pale Twaha anapoingia lazima amkumbatie ( clinching) ili kurefusha muda na kumchosha mpinzani wake. Bila kutumia style hii ushindi wake utakua wa mashaka au utatokea ghafla kama ushindi mwingine wa kushtukiza unavyotokea kwnye ngumi.

Ili Twaha ashinde lazima aboreshe mbinu za kuingia ndani ili ashambulie. Anatakiwa aongeze speed ya kuingia na atumie hook punch (ngumi za nusu duara) kwenye mbavu ili kushusha kimo cha Dulla na kujirahisishia kutumia cross Punch na Upper Cut ili kumaliza pambano kwa KO.

NB; Nauona ushindi wa Dulla kwa point na ninauona ushindi wa Twaha kwa KO na TKO.

Boxing ni combat game chochote chaweza kutokea wakati wowote.
 
Jf ni dunia
 
Wewe jamaa ni fundi hasa,utakua mwalimu wa ngumi wewe.
 
Twaha Kiduku ndio bondia bora Tanzania alifuatiwa na Dula . Mwakinyo mchumba tuuu
 
Mabondia wetu Tanzania bado sana kwakweli. Uwezo wa mbinu,MAARIFA na mikakati ulioonyeshwa ni wa kiwango cha chini na kwangu mm Rashidi Matumla "Snake" anaendelea kua bondia bora sana hapa Tanzania.
Game imeisha Kwa point lkn alietakiwa ashinde hii game kwa point ni Dula kama angetumia mbinu ya "clinching" lkn ameacha anashambuliwa kilofa tu.

Kwenye kipande hiki cha video Twaha ilikua amalize hili pambano lkn alishindwa na alitoka ndani wkt Dula hajafanya chochote ambacho kilimfanya Twaha atoke.
Mpinzani Yuko kwenye target anatokaje bila kuleta madhara yoyote?
 
Back
Top Bottom